Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,012
- 95,356
Sawia kabisa jombaa...Hahahahaha.....akikua atajua bana. Mi naona tumuache kwanza, au vipi babu?
Sawia kabisa jombaa...Hahahahaha.....akikua atajua bana. Mi naona tumuache kwanza, au vipi babu?
Unafuata line kubwa ya waya wa umeme.
Hehe kweli pale panachanganya unaeza kwenda handeni bureWakati napand Dar to Moshi trip kwa private car nilitaka ingia chaka round about ya Korogwe pale...Nikauliza Mmasai mmoja akanipa dira! Ilikuwa night kali sana.
hata mm nitamwambia akiwa mkubwaNa mimi nakazia alichokuambia mzee wako; nitakuambia ukiwa mkubwa.
😂😂😂Hehe kweli pale panachanganya unaeza kwenda handeni bure
Subiri ukiwa mkubwa utajua.Unakuta mtu anaishi Arusha au anaishi Dodoma then anataka atoke alipo aende mkoa tofauti
Labda tuseme unataka kwenda kigoma,swali langu ni:
Unajuaje njia ya kupita hadi kufika kigoma? au ndio kufata lami moja kwa moja?
Mi najuaga mnafata mabasi kwa nyuma sasa naona itakua haina maana kama utafata bus kwa nyuma,bora upande bus sasa.
Nauliza hivi kwasababu Baba angu ni msafiri sana wa huko mikoani na unakuta kuna mkoa anaenda hajawahi hata kufika.
Nilishaenda nae kipind flani nikahisi labda huko barabarani kuna vibao,ila ajabu ni kwamba sijawahi ona kibao tofauti na vya SPEED LIMIT
ukimuuuliza amejuaje njia,anakujibu kisiasa "ntakwambia ukiwa mkubwa"
Sasa mi naomba kujua nyie waenda mikoani hizo njia mnazijuaje hadi mnafika kabisa mkoa Husika
Maana kuna sehemu unakuta round about halafu njia ziko kama 4 hivi na hazijaandikwa ila mtu hakosei anaingia right way,mnajuaje?
Na ndio mikoa yote sasa nchi nzima,kweli?
Jf imevamiwa,huku sio fb nduguHahahaaa Tunaosoma cooment tujuaneView attachment 1227047
Google map ya kijinga sana, iliwahi tuingiza sehemu ya ajabu huko itigi, kama sio 4W tungekesha.Vibao vya kuonyesha njia vipo kwenye kila makutano au round about au kwenye junctions...unaweza pia kutumia Google map