Swali langu kuhusu Mafunzo ya JKT

NullPointer

JF-Expert Member
Feb 7, 2011
3,461
2,267
Majina yametoka ya wanafunzi ambao wanatakiwa kwenda jeshini kwa mafunzo ya kijeshi yaani shule zote zilizobakia kuacha zile 27 ambao walienda awamu ya kwanza. Nani anafahamu ni website gani jamani?
alafu asiyeenda hatua gani hizo zitachukuliwa? Msianze kuponda jamani, ka huwezi kujibu tafuta post nyingine maana haikuhusu hii
 
ASSUMPTION: Kwa kua walioitwa ni waliofaulu. Watakaokaidi hawatapata mkopo watakapochaguliwa kuingia vyuo vikuu
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom