Swali la wiki: Lowassa aachie uenyekiti kamati ya ulinzi na usalama ya bunge?

HUyu Jamaa Edo Lowassa nilimsamehe makosa yake yote na nikawaza kuwa labda sasa yupo na nasi katika kujenga nchi. Lakini hivi Juzi tuu, alimkalia kooni Membe na kamti yake ya mambo ya nje kuwa kuna mapessa mabilion kwa mabilion yametumika bila sababu. Na alitka membe ampatie maelezo. Lakini kwa ghafla akakaa kimyaa mpaka leo na hajatuambia kuwa yale madai yake yamefikia wapi ya matumizi mabaya ya kamati ya membe.

Inaelekea ile ilikuwa financial restution(blackmail) ya nguvu ya kutaka kigao ili anyamze. Maana leo hii kakaa kimya na hataki kabisaa kuizungumzia scandal hiyo.

Sasa niko tayari kuyapa maiti ya mbwa kura zangu kuliko kumpatia Lowassa. Na akishinda yraisi tuu, basi mitakimbilia bai doa somali mpaka yeye amalize muda wake. Ni mtu hatari sana huyu katika uchumi wetu.
 
Yote yanayotokea yeye kimya
Na membe aachie uwaziri wa mambo ya nje kwa kumshauri vibaya JK kukutana na uhuru Kenyatta na eugine wa malwa hivyo kuibua mgogoro wa kidiplomasia ndani ya Kenya na katika jumuia ya kimataifa. Mwisho nashauri Angalia kanuni za Bunge Toleo la mwaka 2007, ili pia uangalie majukumu ya Kamati ya Bunge ya nje ulinzi na usalama na yapi, Aidha Kamati hii kwa mujibu wa kanuni hufanya kazi zake kwa faragha, hivyo si lazima lowassa aongee hadharani.
 
Jana alitoa amri mabilioni ya JK yapelekwe kwenye VIKOBA,anaingilia mamlaka ya urais! JK yuko kimya!
 
Jana alitoa amri
mabilioni ya JK yapelekwe kwenye VIKOBA,anaingilia mamlaka ya urais! JK
yuko kimya!

mkuu el anapower kuliko hata prezidaa,isitoshe kama rais mwenyewe yuko bize na utalii sion ubaya el kumsaidia kama prezidaa kivuli.
 
nashawishika kukubaliana na mleta mada.choko choko za malawi tulimskia EL(sikumbuki aliongea kama yeye au mwenyekiti wa kamati ya bunge) akitema cheche.au bado anafanyia kazi?
 
Kimsingi tatizo kubwa lipo kwa JK Ingawa nashtushwa kuona hajatoa tamko kama alivyotoa ile kitu ya malawi.
Utendaji wa JK ni wa namna ambayo unatakiwa uwe na kumbukumbu nzuri ili uweze kuufanyia tathmini.Pamoja na udhaifu wake JK anapendelea kuacha mfumo ufanye kazi yake.

Hii inaweza ikatafsiriwa ya kuwa hataki lawama lakini kwa upande mwingine ndo utawala wa sheria unaotakiwa katika dunia ya leo,naomba nitoe mifano.

Kwanza tuangalie mgomo wa madaktari ambapo mahakama iliamuru MAT wasitishe mgomo lakini viongozi wa MAt wakakaidi,wakzima mpaka simu na mgomo ukatokea lakini leo hii Rais wao ana kesi Mahakamani akishtakiwa kwa kukaidi amri halali ya mahakama na sio JK.

La karibuni,hili la kina Ponda na wenzie angeweza kuwatia hata kizuizini kwa uchochezi lakini sasa wanakabiliana na kesi ambayo hawatamlaumu Raisi na ikiwa watashinda au kushindwa itakuwa ni uamuzi wa mahakama. Tujadiliane.
 
19.jpg

Mzima kweli huyu jamani?
 
Ulitegemea afanye nn kama Mwenyekiti wa kamati hiyo?

Bunge kama muhimili unaojitegemea angeitisha kamati yake na kushirikisha bunge ambalo lingeweza kufanya maamuzi ambayo yangeweza kusukuma mihimili mingine ya Rais na mahakama kufanya maamuzi magumu.

Mbona rahisi kuelewa?
 
Na membe aachie uwaziri wa mambo ya nje kwa kumshauri vibaya JK kukutana na uhuru Kenyatta na eugine wa malwa hivyo kuibua mgogoro wa kidiplomasia ndani ya Kenya na katika jumuia ya kimataifa. Mwisho nashauri Angalia kanuni za Bunge Toleo la mwaka 2007, ili pia uangalie majukumu ya Kamati ya Bunge ya nje ulinzi na usalama na yapi, Aidha Kamati hii kwa mujibu wa kanuni hufanya kazi zake kwa faragha, hivyo si lazima lowassa aongee hadharani.

What faragha? Faragha, mbona alirukia mgogoro wa Malawi asubuhi na mapema? Faragha, mbona tulisikia kelele za matumizi ya hela Foreign Affairs? Ni hiyo faragha iliwekwa kapuni kuhusu Western Sahara?
 
mkuu el anapower kuliko hata prezidaa,isitoshe kama rais mwenyewe yuko bize na utalii sion ubaya el kumsaidia kama prezidaa kivuli.

True Ciello. Hata mtalii alianza kutetereka kiutendaji EL alivyoacha uprime minister
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom