Swali la Waziri Mkuu Mstaafu Sumaye hatimaye lapata jibu

DIZZO MTAWALA

JF-Expert Member
Aug 22, 2015
240
767
Yes kwenye kampeni za 2015 Fredrick Sumaye akiongoza kampeni za UKAWA kwenye viwanja vya Tanganyika Packers aliwaambia matycoon, Magufuli alikuwa akitumwa kama kwenda kutengeneza jambo basi atafanya na jambo ambalo hakuagizwa leo mnampa madaraka ya urais je madaraka ya Urais mnayajua?

Sasa magomvi ya matycoon yamemleta Magufuli. Anachokifanya Magufuli sio kigeni ndani CCM sema yeye kabadili gia kidogo baada kuona uhalali wa kisiasa ndani ya chama na nje ya chama umeshuka sasa kaamua kutumia uhalali wa kidola.

Pole Makamba ulitukamata na mapolisi ukiongozana na Kova baada ya kudhibitiwa uchakachuaji yote tu ilimradi Magufuli awe Rais. Sasa kakurejea pambana naye umma hauwezi kuwa nyuma yako ninyi mlituuza kwa magomvi leo hali ya kiuchumi imekuwa mbaya malipo hapa hapa aisee leo Janaury hawezi hata kuongozana na Mambosasa

Mzee Sumaye alijua zimwi hili litawageukia tu.
 
Nimecheka sana kusoma maneno ya mzee Sumaye na wala siyapingi, kwa nature ya mkuu itakua ni kweli
 
Yes kwenye kampeni za 2015 Fredrick Sumaye akiongoza kampeni za UKAWA kwenye viwanja vya Tanganyika Packers aliwaambia matycoon, Magufuli alikuwa akitumwa kama kwenda kutengeneza jambo basi atafanya na jambo ambalo hakuagizwa leo mnampa madaraka ya urais je madaraka ya Urais mnayajua?

Sasa magomvi ya matycoon yamemleta Magufuli. Anachokifanya Magufuli sio kigeni ndani CCM sema yeye kabadili gia kidogo baada kuona uhalali wa kisiasa ndani ya chama na nje ya chama umeshuka sasa kaamua kutumia uhalali wa kidola.

Pole Makamba ulitukamata na mapolisi ukiongozana na Kova baada ya kudhibitiwa uchakachuaji yote tu ilimradi Magufuli awe Rais. Sasa kakurejea pambana naye umma hauwezi kuwa nyuma yako ninyi mlituuza kwa magomvi leo hali ya kiuchumi imekuwa mbaya malipo hapa hapa aisee leo Janaury hawezi hata kuongozana na Mambosasa

Mzee Sumaye alijua zimwi hili litawageukia tu.
Katika ulichoandika maneno ya Sumaye yameanzia na kuishia wapi na yako yameanzia na kuishia wapi?

Maana, duh! Walioelewa hilo nawasifu.
 
Waliogani mchangani Leo mashairi yao yanaimbwa ila wenyewe ni suspects wa ujumbe wao wenyewe
 
Back
Top Bottom