Swali la uchokozi: CCM ikiweka picha ya Magufuli akifanya mkutano Monduli nawapa kura yangu

ImageUploadedByJamiiForums1444471939.646923.jpg
Picha hiyo hapo Mim ni mwana CCM
 
Wanaukumbi

Ukweli unatabia ya uwazi, Magufuli hakupata watu Monduli. Aliishia kwa Sokoine ambaye hata hamjui zaidi ya picha na hotuba.
Alipokuja uwanjani hakuna kitu, magari ndiyo yalikuwa mengi kuliko watu.

Wakiweka picha humu akiwa na nyomi katika ardhi ya Monduli basi NTAMPA KURA YANGU.

Nyomi sio idadi ya kura wewe
Wengine wanakuja kushangaa helikopta 😆
 
UTANGULIZI

Magufuli alifanya mikutano 9 kati ya kumi aliyotakiwa kuifanya Arusha,Aliicha Ngorongoro tu.

Magufuli alichelewa kuingia Shekh Amri Abed akiwa anatokea kuhutubia Monduli.

ITV walionesha clip ya Magufuli akirukaruka kimorani huku akipambwa na shingo za kunesanesa za kina mama yeyoo...

Lowassa ilibidi arudi Monduli kufanya mkutano mara ya pili baada ya kusikia shughuli ya TINGATINGA VIUNGANI MWA ARUSHA.

Chadema ilipoteza mwenyekiti wake wa chama wilaya ya monduli alihamia ccm.....

Wanataka picha pleasee!!!
 
Umeambiwa muweke picha sio
:blabla::blabla::blabla:
 
Nyomi sio idadi ya kura wewe
Wengine wanakuja kushangaa helikopta 😆

Unajua mi nawashangaa sana nyie Magamba, kwenye Mikutano ambayo mnafanikiwa kusomba watu wakajaza Uwanja tunaowaona mkifurahia sana mdomoni mara ohh leo mmepata mapokezi makubwa, hii ni gharika na maneno mengi tu ya kujifariji machoni na mdomoni ingawa moyoni mnajua hao watu mmewatoa mbali na eneo husika la Mkutano.
Sasa mmeenda sehemu ambayo hamkufanikiwa kusomba watu mnakuja na stori eti kujaza watu si kigezo cha kupata kura nyingi.
Tuwaeleweje?
 
Dr. Magufuli ananichanganya sana alisema TANELEC ni kiwanda cha ngozi atatengeneza viatu na mikanda vile vile alipofika kyerwa kagera alisema madini bati atajenga kiwanda cha mabati kuhakikisha madin ya bati yanabaki pale pale ili watengeneze mabati ya kutosha, kwanini wawakilishi wake wa sehem husika wasiwe wanamwambia TANELEC na madin bati vinahusika na nini ili asiwe anaharibu katika mikutano yake.
 
Feruzi anapaka piko nywele zimejaa mvi bado anautaka ujana.

Hilo la kwanza, wakimfungulia Lowassa kesi juu ya madai yao ya ufisadi, sio tu ntawapa kura yangu, ntazunguka na mgombea wa ccm kuhamasisha wananchi wampigie kura.
 
Wakati mnasubiri "nyomi" la Monduli hebu angalieni hii picha vizuri. FIFA ilibidi walikubali hilo goli.

article-1082065-024FEE6A000005DC-809_468x343.jpg
 
chagadema mkiweka video ya Lowasa akikemea ufisadi ntaukomvisi mtaa wetu wote kumpigia kura na yangu ikiwemo
 
Back
Top Bottom