Swali la tafsiri ya terrorism linasaidia nini kesi dhidi ya Mbowe?

Tajiri Tanzanite

JF-Expert Member
Oct 23, 2016
2,069
3,705
Hapo vip!!

Binafsi maswali kama haya natafsiri kama maswali ya kitoto yasiyoweza kusaidia upande wa utetezi.
Hata kama lengo nikumchanyanya shaidi ila me naona haisadie sana kwa jinsi kesi na ushaidi wa jamuhuri ulivyokaa wazi.

Cha ajabu baadhi ya vyomba vya habari vinasema shahidi ashindwa kujibu maswali kwa kuangali swali kama hili ambalo haliwezi kusaidi katika kesi hii.

Naona kuna ushabiki wa baadhi ya mitandao na vyombo vya habari kwa lengo la kutaka kutengeneza image ya kesi hii kwa wananchi pasipo kuonyesha upande mwingine wa shilingi.

Narudi hii kesi imemkalia bwana yulevibaya tuache ushabaki.
 
Ni wazi kesi ilikwisha amuliwa, lakini pia wananchi tunapata funzo kuhusu elimu na uwezo wa walio kwenye madaraka.
Serikali ikikudhamiria hauta ishinda, hukumu pendekezwa itatolewa na utaambiwa rufaa iko wazi.

Mbowe aliwahi kufungwa bila kosa na mahakama ikathibitisha hilo na ikamuachia!
 
Huwa najiuliza maswali kwa nini ikitokea kiongozi wa upizani ameshitakiwa anaonekana anaonewa hata kabla ya tuhuma yenyewe kufahamika?ni mind set,ushabaki,ujinga au kitu gani...
Watu wanaangalia msingi wa kesi. Kwani ni kuongozi gani wa upinzani aliwahi kushundwa?
 
Tatizo neno"terrorism" ila tatizo ni mtu kuandika lugha asoijua. Hoja hapa ilikuwa ni kutanabahisha watu kuandika lugha wanayoifahamu; au mimi ndo sikufahamu.
 
Tatizo neno"terrorism" ila tatizo ni mtu kuandika lugha asoijua. Hoja hapa ilikuwa ni kutanabahisha watu kuandika lugha wanayoifahamu; au mimi ndo sikufahamu.
Kuulizwa vile ni kutaka kumchallenge Shahidi na kuonesha kuwa ushahidi wake ni wa uongo, hajafanya uchunguzi na report hakuandaa yeye, maana huwezi shindwa kujua kitu ambacho umekiandaa mwenyewe.
 
Hapo vip!!

Binafsi maswali kama haya natafsiri kama maswali ya kitoto yasiyoweza kusaidia upande wa utetezi...
Mungu ndiye anajua ukweli wote, lakini hii kesi ni ya kubuni. Aliyeengua wagombea wooote wa upinzani bila woga hawezi kushindwa kubuni kesi kama hii.

Aliyeengua wagombea wote ndiye aliyepaswa kuwa mahakamani badala yake aliyeenguliwa ndiye Yuko mahakamani. Kama ni kweli Kuna Mungu basi hali Yao haitakiwa poa.
 
Hapo vip!!

Binafsi maswali kama haya natafsiri kama maswali ya kitoto yasiyoweza kusaidia upande wa utetezi.
Hata kama lengo nikumchanyanya shaidi ila me naona haisadie sana kwa jinsi kesi na ushaidi wa jamuhuri ulivyokaa wa
Uwepo wa nyuzi kama hizi ndipo ambao inaonyesha kuna haja ya kuongeza kitufe cha "dislike" kifanye kazi sambamba na kile cha "like" ili kutendea haki mleta mada.

Sent from my Nokia 2.3 using JamiiForums mobile app
 
Huwa najiuliza maswali kwa nini ikitokea kiongozi wa upizani ameshitakiwa anaonekana anaonewa hata kabla ya tuhuma yenyewe kufahamika?ni mind set,ushabaki,ujinga au kitu gani...
Wana makosa yao but mostly ni the way serikali inabeba hizi kesi. Wako so aggressive, wako tayari kutunga au ku plant mashahid wa uwongo ili kesi iende upande wao.

Na hapa ndipo pale aliepaniwa anaonekana kuonewa.. maana nguvu inayotumika upande wa pili ni kubwa kuliko kiasi
 
Back
Top Bottom