Swali la nyongeza kwa mheshimiwa spika | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Swali la nyongeza kwa mheshimiwa spika

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by CPU, Feb 20, 2011.

 1. CPU

  CPU JF Gold Member

  #1
  Feb 20, 2011
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 3,871
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Kikao cha Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kilimalizika mwishoni mwa wiki jana kule Dodoma. Kama ilivyo ada, mambo mengi sana yalijadiliwa kwa ajili ya mustakabali wa nchi yetu, huku pia vijambo vya hapa na pale vikiendelea kutawala kule mjengoni walipikuwa wanakaa waheshimiwa wetu.

  [​IMG]


  Na moja ya vijimabo ambavyo vilinaswa kule mjengoni ni pamoja na staili mpya ya mheshimiwa huyo hapo pichani (ofukozi, mie simujuwi), ya kutafakari huku akijiandaa kuuliza swali la nyongeza kwa mheshimiwa Spika


  [FONT=&quot]SAFI SANA ENDELEA NA MOYO HUO HUO ..........
  AMA KWELI .....
  NA HAPO AKIAMKA UTAMSIKIA
  "MWESHMIWA SPEAKER NINA SWALI LA NYONGEZA HIVI MISHAHARA YA WABUNGE ITAPANDISHWA LINI?"[/FONT]
   
Loading...