Kabla ya yote mimi pia ni mmoja wa wanaopinga kupandisha gharama ya umeme.
Lakini pamoja na hilo kuna kitu kinaendelea hapa nchini.
Watu wanatafutiwa sababu za kutumbuliwa makusudi ilimradi uondoke tu kwenye hiyo nafasi.
Wenye Mamlaka ya kupandisha gharama za umeme ni Ewura, Tanesco wao hupeleka maombi tu. Maombi yaweza kukubaliwa au kukataliwa.
Kwa mfumo wa nchi yetu huwezi niambia kipindi Tanesco wanafanya mchakato wa kupeleka maombi ya kupandisha bei ya umeme Waziri husika alikuwa hajui au hata Rais.
Nakumbuka kabisa kipindi Tanesco wamepeleka maombi haya Ewura, na nina amini hata Waziri au Rais walikuwa wanajua hili. Kama ni kuzuia mchakato walikuwa na uwezo wa kuzuia hilo.
Lakini leo kuwaambia watanzania wenye akili kwamba eti Hili hamlikuwa mkilijua au kushirikishwa bado mnatujaza maswali.
Sasa maswali mengine yanakuja juu zaidi kuhoji ni nani aliyepandisha bei ya umeme, ni Tanesco au Ewura?
Kwanin bosi wa Ewura asitumbuliwe kukiuka sera ya Rais ya viwanda na umeme wa gharama nafuu??
Kwaninu tusijiulize maswali mengine zaidi juu ya kutumbuliwa kwa Mramba?
Ni kweli watu yale yanaosemwa chinichini kuwa watu wa kanda ile huondolewa kwenye serikali hii kwa namna yoyote ile?
Ni kweli kwamba huwa zinatafutwa sababu au mitego kuhakikisha fulani anatumbuliwa?
Kutumbuliwa kwa Mramba kuna sababu nyingine na sio hili!!
Nawasilisha.