Swali la leo> kwanini Wewe ni Mwanamme Na Si Mwanamke...vivyo hvyo Kwa Mwanamke..

Mambo ya X and Y chromosomes, mullerian tube na wolfian duct, Shule ya genital development in embryology
 
Me nilivyo ni kwa sababu Mungu hakupenda niwe vile nisivyo.
Afu madame ile photo uliyotoka kizungu umevaa jeans camera umeipa mgongo! Aisey lile ni zigo au?
Aspirin alikuotea vizuri kukuphotoa, manaake kwa harakaharaka nilidhani ni furushi la dobi anaenda kufua! Khaa! Nchi nyingine laivo ungelipia Tax levy!
 
Yani we acha tu Judgement,
Asprin madai aliniotea eti.
Afu huu mzigo unanipa tabu kwei kwei,natamani nipate mtu nimtwike ahangaike nao.
Afu lile pozi sasa,mtoto kama siendi 'ofisini-toilt'
Mzima lkn?
 
Last edited by a moderator:

Haya bana, nawe mwone Judgement anavyojipa raha mwenyewe. Haya niambie nikiwafungisha ndoa kwa mujibu wa katiba, hamtaendana??

870841.jpg
 
Last edited by a moderator:
mimi ni mwanamke......na wakati mwingine ni mwanaume.....unataka kujua how......?
 
Haya bana, nawe mwone Judgement anavyojipa raha mwenyewe. Haya niambie nikiwafungisha ndoa kwa mujibu wa katiba, hamtaendana??

870841.jpg

Babu utakuwa haujatutendea haki,kumtoa nyonga mkalia ini akiwa kwenye pipa letu la ubwabwa.
Hebu kwanza tupiamo picha yetu ya harusi itakavyokuwa...
 
Last edited by a moderator:
Babu utakuwa haujatutendea haki,kumtoa nyonga mkalia ini akiwa kwenye pipa letu la ubwabwa.
Hebu kwanza tupiamo picha yetu ya harusi itakavyokuwa...
Harusi si mpaka mfunge? Najaribu kuyatafakari maisha yako na Judgement kijijini huko baada ya kukabiliwa na waya mkali.

attachment.php
 
Last edited by a moderator:
Harusi si mpaka mfunge? Najaribu kuyatafakari maisha yako na Judgement kijijini huko baada ya kukabiliwa na waya mkali.

attachment.php

You're under Arrest!!
Babu unanivunja tumbavu twangu.
Ila maisha ya kijijini yako poa.
Sh250/= mnamaliza siku.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom