Swali la kufikirisha: Hivi mwanaume unaweza kumgundua mke/girlfriend wako kuwa hapa ametoka kufanya mapenzi na mtu mwingine?

Ashakum sio matusi, ushawahi kukutana na umbile la mwanamke aliyetoka kujifungua? Unajua inachukua muda gani kurudi katika hali ya kawaida??? Unaelewa kwanini??

Nikusaidie tu even hiyo elasticity unazungumza huwa inapungua kutegemea na object iliyopita kwa muda husika, ebu elewa hata katika hilo.
Mkuu nina watoto wawili kutoka kwa mwanamke mmoja so naelewa
 
I wish atokee mwanamke aliyewahi kuruka na mtu zaidi ya mmoja kwa kupishana muda mdogo ili atoe ushuhuda. Mimi nawajua wanawake ambao wameshafanya hivyo.

The only way ni akikukubalia tu. Nje ya hapo itakua ni assumptions zako tu ambazo yeye ndiye wa kuziconfirm au kudeny.

Pia kuna watu wanadai K iliyotoka kushonwa inakua tepe tepe na ikikojolewa ndani ndiyo kabisa lazima ujue. Hapa katika uzi wa kula kimasikhara kuna member sitamtaja alikula binti, na akakojolewa ndani, na binti akarudi kwa bwana ake ambaye kabla ya kumshona binti akanyonya K kwanza.

Na hakujua.

Mwanamke akiwa aroused anakua wet. Akiwa kakojolewa ndani hizo shahawa hazibaki hua zinatoka nje na kuacha umaji maji ambao wewe ukiukuta utasema binti yupo aroused.

Mla Bata Sakasaka Mao
 
Sahani tena ukinge mijibao mweeeeee. Ugoro utapata wapi. Au kuberi zile za wahindi pia zinafaa hahahaha. Na huyo dem atakaekuubal kuchutamiishwa hivo hana akili.
Ugoro unapatikana Kariakoo Shimoni, hiyo ndio njia ya kijadi sasa kama hata mkeo unashindwa kumbana basi ujue wewe mke ndio anakuendesha na utaendelea kugongewa tu. Wazee wetu ndio walikuwa wanatumia njia hiyo
 
Sikilizeni vijana kuna njia hii ya kienyeji na ina-apply iwapo amegegedwa bila kutumia kondom. Unachofanya unamwambia achuchumae kisha usawa wa mbunye unaweka sahani au kisosa (kisahani kidogo cha chai) kisha unamnusisha ugolo yaani baada ya hapo atapiga chafya za kutosha na huku chini lazima atoe mabaki ya bao alizopigwa atakama akijiosha vipi lazima kamasi la kiume litoke mbunyeni

Ni hayo tu kwa leo

Kuna wakati JF ni vichekesho na full ujinga ujinga
 
Wengine wanatoka na janaba lao hata kuoga hawaogi, hapo napo panahitaji uwezo mkubwa kuwagundua?

Kuna jibaba moja nilishuhudia limerudi nyumbani mke wake analitafuta, limevaa suti nzuri lakini zipu haijafungwa.

Mke wake akaliambia funga zipu ukimaliza shughuli zako huko unakotoka.

Hapo napo panahitaji sayansi ya unajimu wa anga za juu sana?
Kama alitoka chooni akasahau kufunga jee? Daah.. mtu unaweza kuhukumiwa ivi ivi kimbe hata huna kosa.
 
Sikilizeni vijana kuna njia hii ya kienyeji na ina-apply iwapo amegegedwa bila kutumia kondom. Unachofanya unamwambia achuchumae kisha usawa wa mbunye unaweka sahani au kisosa (kisahani kidogo cha chai) kisha unamnusisha ugolo yaani baada ya hapo atapiga chafya za kutosha na huku chini lazima atoe mabaki ya bao alizopigwa atakama akijiosha vipi lazima kamasi la kiume litoke mbunyeni

Ni hayo tu kwa leo
Ooh sawa, tutakuwa tunajinusisha ugoro na kupiga chafya hukohuko tunakotoka
 
Wakuu kutokana na Uzoefu wangu wa miaka kadhaa katika hii industry itoshè tu kusema kuwa mzigo uliotoka kuchakatwa Unajulikana mimi huwa najua tu kuwa Hii lami imeshachimbuliwa kwahiyo napambana tu na hali yangu wazungu waje halafu namtimua sirudii bao la pili
 
Naskia wamama hasa kwa watoto wao wa kike wanauwezo mkubwa wa kujua kua huyu binti yangu ametoka kudinyana. Pia, naskia mademu zetu au wake zetu wana exceptional capability ya kueza kutugundua vidume kua tumetoka ku chepuka.

Ila swali hapa ni je sisi wanaume tunaweza kigundua kuwa mademu/wake zetu hapa wametoka kuchepuka?
ndugu lazima ujue kama ni kitu yako umeizoea ikiingia nyingine lazima kunakuwa kama na kiutofauti flani hivi yaani kukielezea kiukweli inakua ngumu ila lazima ujue na ndio maana mademu wanakutanguliza wewe afu anaenda kucheouka
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom