Swali La Kizushi

Camilo Cienfuegos

JF-Expert Member
Apr 23, 2015
18,783
66,961
Rais wa Nchi akiwa Mwanaume, mkewe hutambulika kama "First Lady"

Mfano Rais wa Tanzania ni John Magufuli, hivyo mkewe Janeth Magufuli ndio First Lady wetu.

Sasa swali langu linakuja, Kama Rais wetu akiwa Mwanamke, mumewe tutamuitaje?

Mfano Rais angekuwa Mama Samia Suluhu, Mumewe tungemuitaje? Msaada jamani kwa anaejua.
 
First Gentleman

the title of First Gentleman may be accorded to a male person who is married to the head of state of a State government, analogously to the unofficial use of "First Lady" for the wife or hostess of a male head of state,
 
Rais wa Nchi akiwa Mwanaume, mkewe hutambulika kama "First Lady"

Mfano Rais wa Tanzania ni John Magufuli, hivyo mkewe Janeth Magufuli ndio First Lady wetu.

Sasa swali langu linakuja, Kama Rais wetu akiwa Mwanamke, mumewe tutamuitaje?

Mfano Rais angekuwa Mama Samia Suluhu, Mumewe tungemuitaje? Msaada jamani kwa anaejua.

First Husband
 
first gentleman (niliona kwenye muvi ya 24 ambapo rais alikuwa mwanamke mumewe akawa anaitwa hivyo)
 
Back
Top Bottom