Tabutupu
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 13,185
- 18,513
Nilikua natafuta forums za nchi za Africa Mashariki hapa JF, cha ajabu nimeona kuna Kenya Forum peke yake.
Swali langu ni hili, ina maana JF ni kwa ajili ya Kenya na Tanzania pekeyake?
Wahusika mliaamuaje hadi kuziaacha nchi nyingine za Africa Mashariki
Au kwa vile mshindani wetu pekee EAC kiuchumi ni Kenya?