Swali la Kizushi: "Wakati wa Kugombea, Rais Awe Anajiuzulu?" | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Swali la Kizushi: "Wakati wa Kugombea, Rais Awe Anajiuzulu?"

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Buchanan, Sep 10, 2010.

 1. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #1
  Sep 10, 2010
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Rais anapovaa kofia mbili yaani "urais" na "ugombea urais" anatumia kofia moja ya "urais" ili kujihakikishia ushindi, hivyo kufanya uwanja kutokuwa sawa kwa wagombea wote! Japokuwa duniani hakuna utaratibu wa kujiuzulu wakati wa kugombea lakini logic inatuambia hivyo! Katiba ibadilishwe ili tuondokane na kuwepo kwa "rais mgombea!"
   
Loading...