Swali la kizushi: Ukigundua kuna dalili za kuachwa huwa unachukua hatua gani?

Kifaru86

JF-Expert Member
Apr 22, 2017
1,734
3,802
Katika mahusiano yeyote yale kuachwa ni jambo la kawaida lakini ndani ya mahusiano ukigundua kuna dalili za kuachwa na mpenzi wako

Huwa unachukua hatua gani mapema kukabiliana mapema na hali hiii maana kuachwa kunauma haswa kwa yule umpendaye?
 
Kuachwa ni suala la kiroho zaidi, sio la kimwili. Zama rohoni kavuruge mipango, au pambana kimwili upate maumivu ya moyo
 
Namchana hatapata mtu kama mm milele..afu namkacha
 
Katika mahusiano yeyote yale kuachwa ni jambo la kawaida lakini ndani ya mahusiano ukigundua kuna dalili za kuachwa na mpenzi wako

Huwa unachukua hatua gani mapema kukabiliana mapema na hali hiii maana kuachwa kunauma haswa kwa yule umpendaye?
Namwita nalala naye halafu hiyo siku nampa vizuri mpaka natoa penzi motomoto.
Hadi jogoo liwike nampikia breakfast halafu kwisha.
Nampiga kibuti miye KUANZIA LEO TUSIZOEANE.FUATA MAISHA YAKO NA MIMI YANGU.
 
Kuachwa ni suala la kiroho zaidi, sio la kimwili. Zama rohoni kavuruge mipango, au pambana kimwili upate maumivu ya moyo
Ni mwanaume mmoja nilimweka moyoni sana,nanilipoachana naye nilikunywa sana nakuvuta bangi hadi kichwa kikata moto nilikuwa kwa rafiki yangu .
Maana katika maisha yangu sinaga wanawake wengi kama marafiki kwa sababu ni vindumila kuwili .
So ni few .
Nilikunywa pombe na kuvuta mpaka mwisho wasiku nilipepewa nikazinduka .
Ila before sasa niliamua kufurahia penzi na mshikaji wangu ili nipumzishe moyo.
Nilikaa kwa muda wa 2 years sipendi wanaume.
Ni huyo tu ila wengine nilikuwa nawatumia kama object hizi toy ukinitibua kwendra aaaa . Nilikula raha sana because niliwachanganya niliwavuruga kama pia.
Sikuwahi kujua huyu ninani shemeji au muhusika.
Ila kama mtu akinikomoa ndio nafanya hivyoo.
Walahii sikudanganyi nimepitia mengi.
Naheshimu mashem zangu sana endapo sijafumania.
Nikifumania namtafuta shem mzuri wa kuvutia tunamalizana.
Hata ndoa yangu ndil hivyo nimeolewa na malaya ,mnywaji ili afiche ushenzi wake.
But niko na shemeji 2000 and something hii ndoa ni nzuri kwa maana anachepuka namimi nachepuka.
Kwa rafiki yake wakaribu wao walianza nikamalizia.
Kingine maisha ni raha ukiwa na zaidi ya mmoja.
Usipende kumuweka mtu moyoni.
Atakupa na presha.
 
Katika mahusiano yeyote yale kuachwa ni jambo la kawaida lakini ndani ya mahusiano ukigundua kuna dalili za kuachwa na mpenzi wako

Huwa unachukua hatua gani mapema kukabiliana mapema na hali hiii maana kuachwa kunauma haswa kwa yule umpendaye?
Ukiona dalili za kuachwa acha wewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom