Swali la kizushi: Ukigundua kuna dalili za kuachwa huwa unachukua hatua gani?

MSELA WA MANZESE

JF-Expert Member
Apr 22, 2017
1,549
2,000
Katika mahusiano yeyote yale kuachwa ni jambo la kawaida lakini ndani ya mahusiano ukigundua kuna dalili za kuachwa na mpenzi wako

Huwa unachukua hatua gani mapema kukabiliana mapema na hali hiii maana kuachwa kunauma haswa kwa yule umpendaye?
 
Don Juan

JF-Expert Member
Dec 15, 2013
21,639
2,000
Nikigundua kuna dalili basi naanza mimi kumuacha "Kuachwa kunauma" Ni sawa na ukimhisi mtu anataka kukublock basi fasta mpige yeye block kabla hajakupiga wewe, ataumia tu!
 
Bujibuji

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
51,121
2,000
Katika mahusiano yeyote yale kuachwa ni jambo la kawaida lakini ndani ya mahusiano ukigundua kuna dalili za kuachwa na mpenzi wako

Huwa unachukua hatua gani mapema kukabiliana mapema na hali hiii maana kuachwa kunauma haswa kwa yule umpendaye?
Kuachwa ni suala la kiroho zaidi, sio la kimwili. Zama rohoni kavuruge mipango, au pambana kimwili upate maumivu ya moyo
 
Christina George

JF-Expert Member
Sep 4, 2019
669
1,000
Katika mahusiano yeyote yale kuachwa ni jambo la kawaida lakini ndani ya mahusiano ukigundua kuna dalili za kuachwa na mpenzi wako

Huwa unachukua hatua gani mapema kukabiliana mapema na hali hiii maana kuachwa kunauma haswa kwa yule umpendaye?
Namchana hatapata mtu kama mm milele..afu namkacha
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom