Just thinking aloud,hivi Marehemu Mwalimu ange react vipi baada ya kusoma hii rasimu ya Katiba?
Mkuu OSOKONI unakumbuka Mwalimu alivyowafurumusha Late Kolimba na Mzee Malecela kwa 'kumpotosha' Mzee Mwinyi juu ya madai ya G55 kutaka serikali tatu? Nyerere hakuwa mtu wa kubadilika kihivyo.Alikuwa ni great thinker so nahisi angesema umefika wakati wa kuanzisha serikali tatu maana watanzania wameshakomaa kwenye muungano kama alivoridhia kuanzishwa vyama vingi 1992!