Swali la kizushi kwa wanaume tuu!!!

Duu mbavu zangu jamani!! Kuna watu kama wanakujakuja!!ila kuna wabishi ila wameshaelewa!!!
 
Aseee sjui ningekuwa nimetoa mimba ngapi jamani oooh Mungu ni samehe! Labda ningekuwa nimwemwagiwa mafuta ya moto kwa kuwachukulia wanawake wenzangu waume zao. Ila ningekuwa tajiri mnooo kwani nisingekuwa nachezewa....
 
Wakuu ni hivi!!
Hivi kwa mfano hapo hapo ulipo kwa umri ulonao!!!swali hapa ni je!!!ukekuwa mwanamke mpaka sasa kwa umri huo ungekuwa wapi???
Ningekuwa hapahapa nilipo kwa wakati huu huu nafanya hili hili na huyu huyu!
 
Back
Top Bottom