Swali la Kizushi: Kwanini Job Ndugai anamuogopa Tundu Antipasi Lissu?

Naona m23 kashalamba buku7 kenda jipumzisha, sasa kaingia SUMU night da nape kweli mbunifu kwa ajira alizowapa vijana
 
Mtoto wangu wa Darasa la sita aliuza "Dad Mbona yule Mbaba alitukana na Hakupewa Adhabu ila Huyu alinyoosha Kidole kutaka kuongea akatolewa Nje kwa Majeshi" sasa Mkuu Sumu kama hata mwanangu wa darasa sita ameona kitu hicho ambacho ni Dhahiri na wewe Hujaona then siwezi kumlamu Ndugai kwa maana wewe unawakilisha Kundi la wanasiasa wasomi wa CCM

huyo mwanao kijeba ulimchelewesha shule!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Machoni mwa Watu wengi Ndugai nu Muoga sasa wewe kama hulioni hilo Kaa na Ujinga wako

Kama kuwa na akili ni kusema Mh. Ndugai ni muoga basi acha nikae na ujinga wangu ila huyo Mh. Ndugai unayesema anamuogopa Mh. Lissu kuna uwezekano mkubwa muda huu wewe unavyohangaika hapa JamiiForums na propaganda zako wenyewe wanagonga mvinyo pamoja.

Tafakari. Chukua hatua.

Sent from my hp EliteBook 8460p using JamiiForums
 
Mkuu Sio Maneno yangu bali ni ya Wanannchi walio wengi. Swali limekukera sana Mkuu?
 
Kilichonikera ni kitendo chako cha kuibadilisha maana ya neno uoga kwasababu zako unazozijua wewe mwenyewe.

Sent from my hp EliteBook 8460p using JamiiForums
 
Kujenga hoja kwa kutumia hisia ni hatari sana.

Sent from my hp EliteBook 8460p using JamiiForums
Sumu nadhani maccm mnaelewa fika kuwa tundu lissu ni mwiba mkali mno kwenu nyie maccm...sasa mnazidi kumpaisha.Viva chadema , viva makamanda.
 
Job Ndugai ni muhuni,anataka kumkoroga LISSU ili alipuke,kisha amtimue bungeni ili asihudhurie mijadala ya wizara zifuatazo:

1.Elimu
2.Muungano
3.katiba na sheria
Maana Wizara hizi wadau utendaji wake ni wamashaka,hivyo wanatumia kila mbinu kuhakikisha huyu jamaa atakuwa nje kwa adhabu.
 
Sumu sumu nani kawaloga nyie vijana mbona upeo wako na lukosi unazidi kuporomoka?jitu zima unategemea buku7 kazi kweli.lisu ni kichwa huwezi kumlinganisha na huyo mwehu ndugai.
 
Upeo wa kufikiri wa Lissu peke yake ni mara100 zaidi ya wabunge na mawaziri wa ccm zaidi ya 250 hvyo kumlinganisha na kilaza Ndugai ni kumtukana na kumdhalilisha stop it plz sio saizi yenu huyo.
 
Kwa wanaofuatilia Bunge watakubaliana na mimi kwamba Naibu Spika Job Ndugai anamuogopa kama sio Kumhara Mnadhimu Mkuu wa Kambi ya Upinzani ndugu Tundu Antipasi Lisu. Ukiangalia hatua aliyochukua na alivyoichukua dhidi ya Lisu inaonesha kabisa kwamba Bw Lisu huwa anamkimbiza Job Ndugai katika Mambo mengi sana na inaonekana Job Ndugai anapokalia Kiti huwa anakuwa amejiandaa "Kupambana" na Lisu na kwa hakika kama Lisu asingekuwa Mwanasheria naamini kabisa sasa angekuwa amekwisha "Dhoofishwa" sana na Ndugai.

Ukiangalia namna Job Ndugai alivyoreact suala la Lisu na jinsi alivyolichunia suala na Peter Serukamba ni Dhahiri shari kwamba Mheshimiwa huyu huwa anapandwa na Jazba sana pale anapodeal na Lisu Matokeo yake amekuwa akichukua Maamuzi yanamfanya "Adharauliwe Sana" na hata watoto wadogo. Maana watu wanajiuliza inakuwaje Mbunge aseme "Come on.. F..k you" aachwe halafu yule mwingine atolewe Bungeni eti Kwa Sababu "Anaongea sana". Kwa kweli huku Mtaani Ndugai anadharaulika sana.

Sasa najiuliza ni kwa nini Ndugai anamuogoa au tuseme anamchukia sana Lisu?

1. Je Inawezekana Lisu alisoma na Ndugai na Lisu alikuwa anamburuza sana Ndugai Darasani kiasi kwamba Ndugai ana WIVU

2. Je ni ile kufanikiwa kwa Lisu katika Fani ya Uwakili tofauti na Ndugai? Kwamba Lisu ni mwanasheria anayeheshimika Duniani tofauti na Ndugai aliyeishia Kupractice Sheria Majukwaani? Mwenye historia ya kesi alizowahi kusimamia na Kushinda ndugai aziweke hapa

3. Au ni Mademu?

Haiwezekana mtu Umchukie mwenzako kiasi kwamba ukatumia Kiti Cha Uspika kutaka Kumtweza namna ile. Ina Maana Ndugai akiwa Rais Maana yake Lisu anaweza Kunyongwa Bila hata Kushtakiwa na Baadaye Adhabu yake ikaingizwa kwenye Sheria kama Precedence

Kwa Nini Ndugai anamhara Lisu Hivyo?

cc Pasco

Kwa sababu Tundu ana matundu kwenye ubongo wake.
 
ukweli uko wazi. upeo wa Ndungai ni mdogo sana
ndio maana anatumia jazba na hasira badala ya busara
anajua wazi hawezi kushindana na Lissu kwa hoja na uelewa wake ktk siasa na sheria
kwa vile Ndungai anadhani bunge ni la chama kimoja ndio maana anatumia maamuzi dhalimu
bila kujua yatamgharimu yeye na chama chake
 
Kilichonikera ni kitendo chako cha kuibadilisha maana ya neno uoga kwasababu zako unazozijua wewe mwenyewe.

Sent from my hp EliteBook 8460p using JamiiForums
Mkuu, Sumu. Utausaidia ukumbi huu vizuri ukiupatia tafsiri yako ya "uoga" katika hoja hii. Tupatie tafsiri yako.
 
utakuwa na matatizo ya akili wewe. lisu amefukuzwa bungeni kama umbwa. toka, askari toa hii takataka hapa, halafu unasema Ndugai anamuogopa tundu? utakuwa punguani wewe, sio hivihivi tu.

Kwa wanaofuatilia Bunge watakubaliana na mimi kwamba Naibu Spika Job Ndugai anamuogopa kama sio Kumhara Mnadhimu Mkuu wa Kambi ya Upinzani ndugu Tundu Antipasi Lisu. Ukiangalia hatua aliyochukua na alivyoichukua dhidi ya Lisu inaonesha kabisa kwamba Bw Lisu huwa anamkimbiza Job Ndugai katika Mambo mengi sana na inaonekana Job Ndugai anapokalia Kiti huwa anakuwa amejiandaa "Kupambana" na Lisu na kwa hakika kama Lisu asingekuwa Mwanasheria naamini kabisa sasa angekuwa amekwisha "Dhoofishwa" sana na Ndugai.

Ukiangalia namna Job Ndugai alivyoreact suala la Lisu na jinsi alivyolichunia suala na Peter Serukamba ni Dhahiri shari kwamba Mheshimiwa huyu huwa anapandwa na Jazba sana pale anapodeal na Lisu Matokeo yake amekuwa akichukua Maamuzi yanamfanya "Adharauliwe Sana" na hata watoto wadogo. Maana watu wanajiuliza inakuwaje Mbunge aseme "Come on.. F..k you" aachwe halafu yule mwingine atolewe Bungeni eti Kwa Sababu "Anaongea sana". Kwa kweli huku Mtaani Ndugai anadharaulika sana.

Sasa najiuliza ni kwa nini Ndugai anamuogoa au tuseme anamchukia sana Lisu?

1. Je Inawezekana Lisu alisoma na Ndugai na Lisu alikuwa anamburuza sana Ndugai Darasani kiasi kwamba Ndugai ana WIVU

2. Je ni ile kufanikiwa kwa Lisu katika Fani ya Uwakili tofauti na Ndugai? Kwamba Lisu ni mwanasheria anayeheshimika Duniani tofauti na Ndugai aliyeishia Kupractice Sheria Majukwaani? Mwenye historia ya kesi alizowahi kusimamia na Kushinda ndugai aziweke hapa

3. Au ni Mademu?

Haiwezekana mtu Umchukie mwenzako kiasi kwamba ukatumia Kiti Cha Uspika kutaka Kumtweza namna ile. Ina Maana Ndugai akiwa Rais Maana yake Lisu anaweza Kunyongwa Bila hata Kushtakiwa na Baadaye Adhabu yake ikaingizwa kwenye Sheria kama Precedence

Kwa Nini Ndugai anamhara Lisu Hivyo?

cc Pasco
 
Siwezi kukushangaa kwasababu mtu akipenda, chongo huita kengeza.

Sent from my hp EliteBook 8460p using JamiiForums
Yaani wewe na wenzako hamnaga cha maana cha kuchangia mmekalia mipasho, jibu hoja usilete mipasho... aibu
 
Sasa najiuliza ni kwa nini Ndugai anamuogoa au tuseme anamchukia sana Lisu?

1. Je Inawezekana Lisu alisoma na Ndugai na Lisu alikuwa anamburuza sana Ndugai Darasani kiasi kwamba Ndugai ana WIVU

2. Je ni ile kufanikiwa kwa Lisu katika Fani ya Uwakili tofauti na Ndugai? Kwamba Lisu ni mwanasheria anayeheshimika Duniani tofauti na Ndugai aliyeishia Kupractice Sheria Majukwaani? Mwenye historia ya kesi alizowahi kusimamia na Kushinda ndugai aziweke hapa

3. Au ni Mademu?

Kwa Nini Ndugai anamhara Lisu Hivyo?

cc Pasco

None of the above.... Ndugai anatumika na CCM kudhoofisha upinzani.
 
Hata JK anamuhara sana TL!sembuse ******* na Bi Kiroboto ambao kichwani kumejaa unafiki?njaa ni mbaya sana maana unakuwa msaliti hata kwa wapiga kura na utaifa unatoweka kuwatumikia watu wachache sana wanakutuma na kukupa chochote!Njaa mbaya sana!
 
Sikujua kama Ndugai ni mwanasheria. Ninavyofahamu, Job alisomea digrii ya kwanza ya viumbepori (SUA) kisha digrii ya pili ya usimamizi wa maliasili na kilimo endelevu (Norway, kama sikosei).

Ila ni ukweli husiopingika Lissu yupo vizuri kichwani. Kuna stori nilipewa na bro wangu kwamba Lissu akiwa mwaka wa kwanza UDSM alipanda kwenye platform (Revolution Square ama Nkrumah) na kuweza kuongea na kusikilizwa. Lilikuwa siyo jambo la kawaida, kwani haikuwahi kutokea mwanafunzi wa mwaka wa kwanza kufanya hivyo na kufanikiwa.
Mkuu hebu iweke sawa hapo, degree ya kwanza SUA alafu alipanda jukwaani akiwa mwaka wa kwanza UDSM?!
 
Back
Top Bottom