Swali la kizushi kwa Nape Nnauye

Kwann hajatajwa kwenye tangazo rudisheni ile picha yake na prof. Mwandosya du ile ni photocopy.
 
Kama ni sifa ya kiongozi babu hana sifa za kujifunza kwake kama vijana maana hana maadili mema kwenye jamii mfano kitendo cha kuitelekeza familia yake mke na watoto ni cha aibu pili kitendo cha kumchukua malaya na kwenda kuishi naye kwenye nyumba ya kulala wageni geust house wakati ana mji na familia ni kitendo cha aibu sana kwa jamii hasa kwa kiongozi kama babu lakini pia kwa umri wake ni aibu sana imefika hatua mke wake anamshitaki mahakamani akitetea haki yake ya msingi ya ndoa je unawezaje kumtetea mtu malaya tena asiye na huruma kwa watoto wake wa kuzaa kama huyu babu?
 
Ukishimu wengine nawe utaheshimiwa kitendo cha Nape kumdhalilisha Dr . Slaa unaona ni sawa? je unakumbuka maneno machafu aliyoyatoa Nape akiwa Mwanza nadhani kwenye kampeni za udiwani pale furahisha? , Umesahau matus aliyoyatoa majuzi kwenye ziara kusini?

Binafi Nape awali nilikuwa namueshimu sana enzi zile za arakati za kuipigania UVCCM na ufisadi lakini kumbe ilikuwa ni njaa tu sasa ameshiba anaanza kuonekana sura yake halisi kiukweli amekuwa mtu wa ovyo sana tofauti na fukra zangu za awali mtu kama huyo huwezi tegemea aheshimiwe wakati hiyo hadhi hana.

Kwa mwendo huu namtabiria hali mbaya sana ya kisiasa mbele ya safari.

Ndugu yangu mtu akikutukana na wewe ukamrudishia mnakuwa na tafauti gani? tupo Chadema maana tunaamini katika utafauti..hii ndio siasa ya karne hii, kwahiyo na wewe unataka kuwa kama livingstone lusinde.. siasa inakwenda na hekima + busara
 
ukweli siku zote ni dawa chungu, hana budi kumeza hivyo hivyo, pili wewe si msemaji wa nape, mwache mwenyewe aseme

Asante kwa kutambua kuwa mi si msemaji wa Nape, lakini ni wajibu wangu kukemea pale jamii inapopotoka. Inauma siyo kwa nape kuambiwa kuwa hana baba bali kwa watanzania ambao hawana baba, au hawajui wazazi wao.. Hekima ni bora kuliko dhahabu ya mwadui shinyanga na tanzanite ya mirerani
 
Nadhani Nape ndiye angeanza kuwa na hayo maadili kwanza. Lugha za mitaani anazoziandika hapa hata hazifanani na wadhifa wake. Kwa jinsi hiyo ndio maana watu wanajibu hoja zake kulingana na lugha anayoitumia yeye mwenyewe!!!

sasa hivyo unakuwa umempa Nape ushindi maana anakuwa anakuongoza unakotaka aende, inatakiwa unakuwa na busara, kumwonyesha tafauti yako wewe na yeye.. sasa akikutukana na wewe ukamtukana mna tafauti gani
 
Nape nadhani hii nguvu unayoitumia kutunga uongo dhiki ya CHADEMA ungeitumia kumjua BABA yako ni nani kati ya MWANDOSYA na MNAUYE.
sipendi kujdili personalities lakini haya madai yapn sehemu nyingi,
KWANI BABA NA MAMA HAWAKUWA PAMOJA ALIPOZALIWA?
 
Nnauye hawezi kujibu hoja hizi, labda ungemsaidia kuelezea ni nini afanye siyo kumuuliza maswali magumu namna hii
 
Majibu kutoka kwa Nape ni sawa na kuubebesha VW beetle mzigo wa Scania. Kwanza kumbuka anafikiri kwa remote.
 
Back
Top Bottom