Swali la Kizushi: Je PCCB na Polisi wanafanyakazi kwa Maagizo ya Mtu??

Elli

Platinum Member
Mar 17, 2008
55,416
85,844
Utakuta kunakua na kesi ambayo ni nzuri kabisa lakini kwa makusudi au kwa kukosa weledi utakuta wahusika wanaachwa hawachukuliwi hatua lakini the same thing inakuja kutokea na Wahusika wanakamatwa. Unaanza kujiuliza kweli hawa watu wanatumia taaluma zao au wanatumia taaluma za watu wengine???
 
Weledi unapaswa kuzingatiwa sana na hivi vyombo viwili.

Watanzania 37% hawana imani navyo!
 
Umeongea ni wakati sasa PCCB wawe na meno sio mpka wasubiri amri toka juu
 
Utakuta kunakua na kesi ambayo ni nzuri kabisa lakini kwa makusudi au kwa kukosa weledi utakuta wahusika wanaachwa hawachukuliwi hatua lakini the same thing inakuja kutokea na Wahusika wanakamatwa. Unaanza kujiuliza kweli hawa watu wanatumia taaluma zao au wanatumia taaluma za watu wengine???
Itakuwaje huru wakati iko chini ya ofisi ya Rais?
 
Back
Top Bottom