Swali la kizushi,hivi kazi ya chuchu za mwanaume ni nini

Mmmhh!!!,Swali gumu thana hili.Mi naomba ile Jinsia nyingine itusaidie kujibu,Wapi Masai dada?,Faiza foxy,Rubi na wengine.tusaidieni maana hoja km hii hujibiwa na jinsia ya Ke.
 
hili swali niliuliza kizushi mtaani siku moja watu wakalipuka sana,naona linazidi kufika mbali ngoja tusubiri majibu
 
Eti bangi ,,mkuu umenivunjia heshma sana
We si kijana wa stend? Ina maana ukiombwa kuonesha vijiwe vya bangi, ngada, viroba utasema hujui hata kimoja? Basi tafta jina lingine mkuu, mtu wa stend lzm awe na full data kuhusu maeneo korofi kwa ustawi wa vijana
 
Back
Top Bottom