Kwa mujibu wa Jina lako mkuu nafikiri una majibu ya Hilo swali lako.Huyu Mlinzi Wa Rais Wetu, Anatoka Wapi Kati Ya Kwenye Chama Au Serikalini? Kama ni Serikalini Je Anaruhusiwa " KIMAADILI " Kuvaa Sare Za Chama Kama Picha Zinavyoonyesha Hapo Chini? Wataalam Mje Mtufahamishe Pliz!!
Wa Kwanza Kushoto. Wakitoka Muhimbili
Wa kwanza Kulia waliosimama. Nyuma ya Mama Janeth.
Wa kwanza Kushoto Mwenye Kofia Ya Cowboy na Tisheti ya CCM. Hapa ni wakati wa Kampeni
Aliyening'inia Kwenye Gari Moja Na Magufuli
Wa Pili Kutoka Kulia Mwenye Shati La Kijani Na Kofia Nyeusi. Hapa Ilikuwa Kwenye Kampeni Mwanza.
CC: Kibo10 Ritz Salary Slip VUTA-NKUVUTE
Huyu Mlinzi Wa Rais Wetu, Anatoka Wapi Kati Ya Kwenye Chama Au Serikalini? Kama ni Serikalini Je Anaruhusiwa " KIMAADILI " Kuvaa Sare Za Chama Kama Picha Zinavyoonyesha Hapo Chini? Wataalam Mje Mtufahamishe Pliz!!