Swali la kitaifa: Je, awamu hii CAG atakagua mahesabu ya CCM na Chadema?

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,867
141,797
Huko nyuma katika awamu zilizopita ilikuwa ni rahisi kuvikagua vyama vidogo vya siasa lakini inapofika kwa Chadema na CCM wakaguzi walishikwa na kigugumizi. Ndio nawauliza waungwana, katika awamu hii ya hapa kazi tu CAG atathubutu kutimba lumumba na ufipa kukagua mahesabu ya " fedha " za ruzuku na matumizi yake pamoja na miradi mingine? Ijumaa njema!
 
Mimi yote hayo 9, kumi ni "Je, awamu hii ripoti ya CAG itakuwa inajadiliwa kwa uhuru na uwazi kiasi cha hata ripoti hizo kupatikana kirahisi hapa JF kama ilivyokuwa miaka ya nyuma?"
 
Huyu kicheere kazi yake itakuwa ni kufata ripoti iliyopikwa ikulu na kuisoma full stop hamna cha kwenda kukagua wala nini
 
Back
Top Bottom