MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,562
Katu huwezi kurule out any 'possible' factor pasipo kuifanyia kazi. With this country.... anything is possible.
Waangaliz wa kimataifa wametia sain zao kukubal uchaguz ulikuwa huru na haki, makamba alisem mpaka kufkia muda ule walikuwa na ushind wa majimbo 176 na ukwel n kuwa tumezidisha hyo idad... weng wenu hamkumjua lowasa vizur, lowasa hakiwah ishinda CCm na historia imemhukumu, lowasa angekuwa asset leo tungeona wabunge zaid ya Nusa wa Upinzan bungen lakn wapi...endeleeea kucheza ngoma ya mamvi tuljua yule n msanii hana madhaara na tumeudhihirishia ulmwengu ktl hlo, alitaka hack matokeoa atangZwe yeye walaah tungemfundisha adabu, ona wapo wap waliompa kura lowasa? Kaitisha maandamano lakN hakuna anaetokea hiyo n maaana tosha kuwa kura zake hazkutosha
Wewe huijui CCM. Mbona mrema yupo? Tatizo la hao akina lema msigwa etc wanafanya siasa za uchonganishi. Hawana dila za maendeleo zaidi ya kutukana. Na kwa taarifa yako utaratibu unakuja kuwakabili ili kurudisha heshima ya nchi, ili watu tuheshimiane siyo kila siku nyie mnachonganisha serikali na wananchi. We nenda china uone kama watu kama akina lema wangekuwa mitaani. Ndiyo maana mrema alipogundua siasa za kinafiki na uchonganishi aliachana nazo.Ccm wamejifunza kutokana na eti wanayoyaona ni makosa waliyoyafanya, mleta mada unadhania kina Lema, Lisu, Sugu, Msigwa nk nk walianzaje?
Na wote hao ni threat kwa ccm. ...je huoni kuwa kuukwepa huu moto usisambae maeneo mapya ni kuwaondoa machipukizi mapya?
1. Kivipi ccm na makamba walikuwa halali kisheria kutangaza matokeo kabla ya tume? Nataka maelezo kisheria
B.
Kazi ya waangalizi sio kuchochea vurugu na umwagaji damu, hata ukiiba 100% endampo wahusika (wananchi) wametulia kwa utulivu unadhan wasimamizi watapaza sauti ili mpigane? Never forever isipokuwa tu ikatokea mmeingia katika mtifuano hapo ndipo ukweli huwekwa hadharan.
kazi ya waangalizi nikuhakikisha utengamano yaan utulivu unapatikana nakama utaibiwa naukatulia tuliii unadhan watasema hapana inuka kapigane umeibiwa!!!! Watasema uchaguzi ulikuwa wa haki na huru lengo utulivu uendee kutamalaki.
usichukulie kauli hii kama sababu, think in 3-D not otherwise.
Wewe stor nyingi makamba aalitangaza majimbo walioshinda yaani idad ya viti na kuhusu uraia akasema hyo n kazi ya tume tofaut na huyo babu wenu msanii yy anakwambia anaongoza kwa 57% baadae anasema 62% haahhahaa watanzania tumemhukum mwizi wetu wa Richmond...
Hata angeshinda kesi yake kulikuwa na threat gani kwa CCM iliyoshinda viti zaidi ya nusu ya viti vyote majimboni kwenye uchaguzi huu??????
Unajuwa unachokiandika? Hatufanyi propaganda hapa.
Na ufaham kwamba makamba alianza ujinga huu hata kabla ya kupiga kura na akaendelea na propaganda hizi kuweka sawa mapito ya tume ya ccm chin ya Lubuva.
Na ufaham kwamba si wewe peke yako ulitangaziwa
Na kama somo la simple mathematics na analysis zake linakupiga chenga ndo yale tulioambiwa Elimu x3
kama ndo wanasheria tulionao mnaandika hivi, I'm sure tuna safari ndefu ya kufika nchi ya ahadi!!!
Uanasheria huu ni kazi kwelikweli hivi unaona we ni bonge la mwanasheria!! Hapa hata masaju ana afadhali
Akijibu ya mwangosi nistue maana nimeitafuta toka page ya kwanza hadi sasa kimya
Kama ulvosema mkuu, wengi humu hueneza chuki zisizokuwa na maana, Mawazo alishiriki kumtesa na kumuumiza vibaya kijana mmoja aliekuwa nae kwenye kikao cha ndan, walimhisi anawarekod ndio wakaanza kumpiga kumbe nje wapo wenzake wengi wakaingia ndan, fujo zkaaanza alivoona imekuwa balaa ndo akachukua bodaboda kukimbia wao wakachukua gar mfukuzia ndo kumshambulia...hvo bas niseme hil Mawazo kawaiwa tu angewashinda yy bdo mngemjaza hapa kama.shujaaa...Geita yote majimbo yapo CCM.sasa mchango wake yy chadema kama.mwenyekt n upi ? Au kumjaza ujinga na kumuita kamanda ^hata ruzuku hapat.ndo ujembe?
Mkuu nimefurahi sana hapo kwenye color sina nia ya kukurekebisha. (wanaanzaga)Amani ya Bwana iwe nanyi wadau,
...
Hili swali linaweza kuonekana la ajabu kwa watu ambao sio critical thinkers ila kwa critical thinkers ni swali la msingi na la muhimu sana kwa sababu hata upande kwa upelelezi unapoanza kuchunguza tukio ili kumuhusisha mtuhumiwa na mauaji kwanza wanaanzaga[\COLOR] kuangalia MOTIVE YAANI KWA LUGHA NYINGINE INTENTION.
...
MUNGU IBARIKI TANZANIA NA WATANZANIA.
Duniani kote kwenye kesi za mauaji motive ndo key