Swali la Kimantiki: CCM wamuue Alphonce Mawazo kwa sababu zipi hasa?

Ziweke hizo taarifa humu ndugu. Hili ni jukwaa huru sio unaongea nadharia tu unataka tukuamini. Unaleta mifano mingi sana kikubwa get straight to the point.
Alafu unasemea kanda ya ziwa, hivi nikuuliza tu kuna sehemu walioshangilia matokeo ya uchaguzi huu kwa kiwango kikubwa na kipekee kama kanda ya ziwa?? Na matokeo ya uchaguzi huu chama kipi kimeshinda???

Aisee mwazoni nilifikri umeleta uzi tuchangie kumbe ni gamba lililojitoa ufahamu kiasi hiki!!!? Hadi nimefikia hatua ya kuomba unihakikishie usalama hapa jf nikupe full story kuhusu Mawazo kumbe nilifisiemu!!!
 
Mwanasheria gani mbovu usiyetambua aina na VIASHIRIA VYA MURDERCASE...!
-UNAINGIA NA CONCLUSION ILHALI UCHUNGUZI NDIYO KWANZA UNAANZA!
 
Nachukua nafasi hii kukudharau rasmi na kukupuuza uliyeleta mada hii , japokuwa nina mengi mno ya kukujulisha kuhusu kitisho cha mawazo kwa ccm kanda ya ziwa .
 
Kwa nini hutaki kujibu hoja....?

Assume sijasoma....then jibu kila swali langu ili mimi mgumu wa kuelewa niweze kukuelewa vizuri.

Wewe ni mwanzilishi wa mada na ni jukumu lako kutujibu sisi wadau. Vinginevyo ufunge mjadala tuendelee na mambo mengine![/QoUOTE]

Swali gani hajauliza hebu lirudie hata sisi tunaweza kujibu ambao tumemwelewa sio lazima yeye mletw hoja@Dark City
 
Hata angeshinda kesi yake kulikuwa na threat gani kwa CCM iliyoshinda viti zaidi ya nusu ya viti vyote majimboni kwenye uchaguzi huu??????
wewe ni mwanasheria wa wapi unashindwa kutofautisha kati ya ccm na wanachama wa ccm. Ccm ni corporate body haiwezi kuua, wanaoua ni wanachama wa ccm. So inaweza kuwa Alikuwa threat kwa wanachama wa ccm busanda ndio maana wakamuua. Think like a lawyer
 
Ziweke hizo taarifa humu ndugu. Hili ni jukwaa huru sio unaongea nadharia tu unataka tukuamini. Unaleta mifano mingi sana kikubwa get straight to the point.
Alafu unasemea kanda ya ziwa, hivi nikuuliza tu kuna sehemu walioshangilia matokeo ya uchaguzi huu kwa kiwango kikubwa na kipekee kama kanda ya ziwa?? Na matokeo ya uchaguzi huu chama kipi kimeshinda???

Ni vizuri ukakaa kimya maana hautaonekana hujui ama unajua japo inaonesha hujui kilichotekea hapa Katoro
Yana mwanzo,kati na mwisho mambo haya...
Pumzika Mawazo
 
Humjui Mawazo hivi unajua matokeo ya uchaguzi wa serikali za mitaa mapema mwaka huu kwa mkoa wa Geita CCM ilipigwa chini? Unajua ccm imeshindaje uchaguzi mkuu mwezi uliopita mkoa wa Geita? Tafuta majibu ya hayo maswali ndio utajua kwa nini Mawazo ni tatizo.
 
SIMU YANGU IKO PAGE SIX TOKA UZI UMEANZISHWA, HAMNA, narudia, HAMNA ALIYEMJIBU MLETA MADA ZAIDI YA MATUSI na 'wataalam wa mambo' kuvamia uzi.
 
wewe ni mwanasheria wa wapi unashindwa kutofautisha kati ya ccm na wanachama wa ccm. Ccm ni corporate body haiwezi kuua, wanaoua ni wanachama wa ccm. So inaweza kuwa Alikuwa threat kwa wanachama wa ccm busanda ndio maana wakamuua. Think like a lawyer
kwa sheria za wapi au knowledge ya sheria za wapi CCM ni Corporate body??????? Alafu soma thread vizuri ndugu uache kukurupuka.
 
Tatizo la mtoa mada yupo ...lumumba hana taarifa ya kilichitokea na huwa ni kawaida ya ccm kua wapinzani kumbuka ..juz tu pale tarime kijana wa chadema alivyo uwawa...na vijana wa ccm.....Mawazo alukuwa wap siku ya tukio na aliuawajr hujui .....na kama hujui huna haja ya unayejita mwanasheria kuongea ...funga bakuli lako....
 
Back
Top Bottom