Swali la Kimantiki: CCM wamuue Alphonce Mawazo kwa sababu zipi hasa?

L

LENDEYSON

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2013
Messages
2,944
Points
2,000
L

LENDEYSON

JF-Expert Member
Joined Sep 27, 2013
2,944 2,000
Waangaliz wa kimataifa wametia sain zao kukubal uchaguz ulikuwa huru na haki, makamba alisem mpaka kufkia muda ule walikuwa na ushind wa majimbo 176 na ukwel n kuwa tumezidisha hyo idad... weng wenu hamkumjua lowasa vizur, lowasa hakiwah ishinda CCm na historia imemhukumu, lowasa angekuwa asset leo tungeona wabunge zaid ya Nusa wa Upinzan bungen lakn wapi...endeleeea kucheza ngoma ya mamvi tuljua yule n msanii hana madhaara na tumeudhihirishia ulmwengu ktl hlo, alitaka hack matokeoa atangZwe yeye walaah tungemfundisha adabu, ona wapo wap waliompa kura lowasa? Kaitisha maandamano lakN hakuna anaetokea hiyo n maaana tosha kuwa kura zake hazkutosha
Waangalizi wa Kimataifa? Unaweza niwekea Vigezo vyao walivyovitumia kwenye Uangalizi? Je! Vilikidhi Uhalisia wa Zoezi zima la Uchaguzi? Pathetic!
 
MwanajamiiOne

MwanajamiiOne

Platinum Member
Joined
Jul 24, 2008
Messages
10,476
Points
1,225
MwanajamiiOne

MwanajamiiOne

Platinum Member
Joined Jul 24, 2008
10,476 1,225
Katu huwezi kurule out any 'possible' factor pasipo kuifanyia kazi. With this country.... anything is possible.
 
Makoye Matale

Makoye Matale

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2011
Messages
6,493
Points
1,500
Makoye Matale

Makoye Matale

JF-Expert Member
Joined May 2, 2011
6,493 1,500
Kanda ya Ziwa hasa mikoa ya sisi 'Washosha Ng'ombe' kumekuwa na mauaji ya kutisha hasa mauaji ya vikongwe kwa mwamvuli wa vitendo vya kishirikina.

Yapo mambo mengi yanayopelekea kushamiri kwa mauaji ikiwa ni pamoja na ugomvi wa mashamba, mali za urithi na ugoni. Watanzania wengi wameendelea kuamini kuwa kila mauaji ya kikongwe yanatokana na ushirikina, wauaji wengi wamekuwa wakiua kwa kisingizio hiki.

Kwa sasa wanaamini kabisa kuwa siasa ni hot cake hivyo wanaweza kuwa wametumia mwanya huu kufanya mauaji ili Watanzania waamini kuwa ameuawa kwa chuki za kisiasa! Jeshi la Polisi lifanye kazi kwa weledi mkubwa, waliohusika wafikishwe mbele ya vyombo vya sheria ili haki itendeke.

Naamini Watanzania walio wengi hawapendi kuona uhai wa mtu yeyote ukikatishwa kwa sababu yoyote ile. Mungu ibariki Tanzania, amina.
 
A

adolay

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2011
Messages
9,877
Points
2,000
A

adolay

JF-Expert Member
Joined Dec 8, 2011
9,877 2,000
Waangaliz wa kimataifa wametia sain zao kukubal uchaguz ulikuwa huru na haki, makamba alisem mpaka kufkia muda ule walikuwa na ushind wa majimbo 176 na ukwel n kuwa tumezidisha hyo idad... weng wenu hamkumjua lowasa vizur, lowasa hakiwah ishinda CCm na historia imemhukumu, lowasa angekuwa asset leo tungeona wabunge zaid ya Nusa wa Upinzan bungen lakn wapi...endeleeea kucheza ngoma ya mamvi tuljua yule n msanii hana madhaara na tumeudhihirishia ulmwengu ktl hlo, alitaka hack matokeoa atangZwe yeye walaah tungemfundisha adabu, ona wapo wap waliompa kura lowasa? Kaitisha maandamano lakN hakuna anaetokea hiyo n maaana tosha kuwa kura zake hazkutosha
1. Kivipi ccm na makamba walikuwa halali kisheria kutangaza matokeo kabla ya tume? Nataka maelezo kisheria

B.
Kazi ya waangalizi sio kuchochea vurugu na umwagaji damu, hata ukiiba 100% endampo wahusika (wananchi) wametulia kwa utulivu unadhan wasimamizi watapaza sauti ili mpigane? Never forever isipokuwa tu ikatokea mmeingia katika mtifuano hapo ndipo ukweli huwekwa hadharan.

kazi ya waangalizi nikuhakikisha utengamano yaan utulivu unapatikana nakama utaibiwa naukatulia tuliii unadhan watasema hapana inuka kapigane umeibiwa!!!! Watasema uchaguzi ulikuwa wa haki na huru lengo utulivu uendee kutamalaki.

usichukulie kauli hii kama sababu, think in 3-D not otherwise.
 
Mudawote

Mudawote

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2013
Messages
6,719
Points
2,000
Mudawote

Mudawote

JF-Expert Member
Joined Jul 10, 2013
6,719 2,000
Ccm wamejifunza kutokana na eti wanayoyaona ni makosa waliyoyafanya, mleta mada unadhania kina Lema, Lisu, Sugu, Msigwa nk nk walianzaje?
Na wote hao ni threat kwa ccm. ...je huoni kuwa kuukwepa huu moto usisambae maeneo mapya ni kuwaondoa machipukizi mapya?
Wewe huijui CCM. Mbona mrema yupo? Tatizo la hao akina lema msigwa etc wanafanya siasa za uchonganishi. Hawana dila za maendeleo zaidi ya kutukana. Na kwa taarifa yako utaratibu unakuja kuwakabili ili kurudisha heshima ya nchi, ili watu tuheshimiane siyo kila siku nyie mnachonganisha serikali na wananchi. We nenda china uone kama watu kama akina lema wangekuwa mitaani. Ndiyo maana mrema alipogundua siasa za kinafiki na uchonganishi aliachana nazo.
 
Michael Mwanjasi

Michael Mwanjasi

Member
Joined
Mar 1, 2012
Messages
44
Points
70
Michael Mwanjasi

Michael Mwanjasi

Member
Joined Mar 1, 2012
44 70
Amani ya Bwana iwe nanyi wadau,

Kwanza kabisa napenda kuanza kutoa pole kwa wale wote walioguswa na kifo na ndugu Alphonce Mawazo. Kifo chochote sio jambo la kawaida kwa hiyo hata iweje lazima pole itolewe hasa kwa wale walioguswa kwa dhati na kifo hiki.

Nikiwa natafakari kifo hiki kumekuwa na maneno mbalimbali yamekuwa yakiendelea humu mitandaaoni kwa watu kurushiana maneno hasa wakihusishana na kifo hiki. Watu hawa kwa kifupi ni wafuasi wa CHADEMA wakisema kuwa CCM wanahusika na kifo hiko, wengine wanadai kuwa ni polisi na huyu si mwingine bali ni mgombea ubunge wa jimbo la Arusha mjini ambaye ameenda mbali zaidi hadi kuwataja polisi kuwa wanahusika na kifo hicho.

Nikiwa mwanasheria na mdau wa mambo ya kisheria hapa napenda nishirikiane na wenzangu jambo hili, nalo ni kama nilivyoandika kwenye kichwa cha thread husika kuwa CCM WAMUUE MAWAZO KWA SABABU ZIPI HASA?

Hili swali linaweza kuonekana la ajabu kwa watu ambao sio critical thinkers ila kwa critical thinkers ni swali la msingi na la muhimu sana kwa sababu hata upande kwa upelelezi unapoanza kuchunguza tukio ili kumuhusisha mtuhumiwa na mauaji kwanza wanaanzaga kuangalia MOTIVE YAANI KWA LUGHA NYINGINE INTENTION.

Kwa wale msioelewa maana ya motive ni nia au dhamira ya mtenda kosa. Sasa kwenye hili tukio ili kuwahusisha CCM napenda kuuliza kuwa Je kuna sababu zipi hasa kwa CCM kumuua ndugu Mawazo ili tu kuweza kutengeneza au kupata motive yao?

Sijaandika ili kuwatetea CCM ila as long as taarifa za kipelelezi hazijatoka napenda tujiulize kwa pamoja kuna sababu gani za msingi kwa CCM kama chama kupanga au kutekeleza mauaji ya ndugu Mawazo?

Nimefikiria sana hata sijaweza pata hata moja kwa sababu hata kwa Geita mawazo hakuwa threat kwa chama kwa kusema kuwa hali ya upinzani kwenye uchaguzi huu kwa Geita imeonyesha kuwa haikuwa nzuri yaani hata ushawishi wao haujaonekana kwa sababu robo tatu ya mkoa tena kama sio wote kwenye uchaguzi uliomalizika imeenda CCM sasa kulikuwa na threat gani kwa CCM hadi waseme wamuue ndugu mawazo? kwa sababu ili iweze kuihusisha CCM na mauaji ya ndugu Mawazo lazima narudia ni lazima ili motive ipatikane tuweze kujiridhisha kiwango cha threat ambacho ndugu mawazo alikiweka kwa CCM. Kama hakijapatikana basi hapo hatuwezi kuihusisha CCM na mauaji ya ndugu Mawazo.

Jambo la pili ni kuhusiana na Polisi kwa sababu ndugu LEMA amejaribu kuwahusisha polisi, swali lilelile napenda kuli impose hapa Je, ndugu Mawazo alikuwa na threat gani kwa polisi hadi polisi wahusike na mauaji yake? Hadi sasa swali hili halijaweza kujibiwa popote pale.

Napenda kumaliza kwa kusema ingawa haturuhusiwi kuongelea upande negative wa marehemu ila hapa lazima tuseme kitu. Marehemu alikuwa anajulikana vizuri sana kuwa ni mtu mtata sana hasa kitabia na hulka na hata kuna thread humu ndani alizokuwa akimsema vibaya kwa vitisho ndugu Zitto Kabwe zinaonekana humu ndani. Naomba tusiondoe nadharia hii kwenye kifo cha marehemu kuwa inawezekana marehemu alikuwa kwenye ugomvi na wauaji wake na kwenye huo ugomvi ndo yakatokea yaliyotokea. Na pia inawezekana yeye ndo alikuwa mgomvi kwa sababau hadi sasa hivi hatujaweza kuelezwa kuwa marehemu alikuwa na nani na kitu gani kilitokea hadi kusababisha mauti yake.


MUNGU IBARIKI TANZANIA NA WATANZANIA.


mwanasheria unafuka moshi aisee unatumia neno la umombo eti motive kwa lugha nyingine intention sasa umezungumza nini?
 
Kiboko.

Kiboko.

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2013
Messages
2,771
Points
2,000
Kiboko.

Kiboko.

JF-Expert Member
Joined Jul 31, 2013
2,771 2,000
1. Kivipi ccm na makamba walikuwa halali kisheria kutangaza matokeo kabla ya tume? Nataka maelezo kisheria

B.
Kazi ya waangalizi sio kuchochea vurugu na umwagaji damu, hata ukiiba 100% endampo wahusika (wananchi) wametulia kwa utulivu unadhan wasimamizi watapaza sauti ili mpigane? Never forever isipokuwa tu ikatokea mmeingia katika mtifuano hapo ndipo ukweli huwekwa hadharan.

kazi ya waangalizi nikuhakikisha utengamano yaan utulivu unapatikana nakama utaibiwa naukatulia tuliii unadhan watasema hapana inuka kapigane umeibiwa!!!! Watasema uchaguzi ulikuwa wa haki na huru lengo utulivu uendee kutamalaki.

usichukulie kauli hii kama sababu, think in 3-D not otherwise.
Wewe stor nyingi makamba aalitangaza majimbo walioshinda yaani idad ya viti na kuhusu uraia akasema hyo n kazi ya tume tofaut na huyo babu wenu msanii yy anakwambia anaongoza kwa 57% baadae anasema 62% haahhahaa watanzania tumemhukum mwizi wetu wa Richmond...
 
nkuwi

nkuwi

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2013
Messages
3,754
Points
2,000
nkuwi

nkuwi

JF-Expert Member
Joined Feb 11, 2013
3,754 2,000
Nipende kuwajibu wote wenye maswali ya kwann ccm wamuue Mawazo???

1. ccm hasa "mtu mfupi" wanamkakati wa kuufuta upinzani kanda ya ziwa, na kwa kanda ya ziwa icon ya upinzani na mabadiliko kwa ujumla ni ALPHONCE MAWAZO!

2.Marehemu anawajua waliomshambulia, kabla ya kukata roho amewataja wahusika moja moja kwa majina wakiwemo viongozi wa ccm geita!

3.walioshuhudia tukio lililotokea mita chache kutoka kituo cha ccm wsnasema ni CCM wamehusika na wanawajua kwa majina na kwa sura ni wanaccm!

4.siku ya ijumaa mwenyekiti wa ccm alikuwa anapombeka mahali fulani ( ) kwa sababu pombe sio chai alitoboa siri hii kuwa lazima kamanda mawazo afe!

5. umewahi kuona PF3 inafika hospital bila kuombwa na mjeruhiwa wala ndg yake? ndicho kilichotokea jana wakati mawazo anafikishwa hospital ya wilaya wamekuta tayari PF3 IPO HOSPITAL NANI AMEIPELEKA???

Kws observation hii ccm inatokaje hapa?

MAWAZO AMEUAWA KAMA MBWAAA??? NO WAY UVUMILIVU UMEFIKA MWISHO!!!


NINAYO MENGI ILA NINA HASIRA NGOJA NIISHIE HAPA....
 
H

Haika

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2008
Messages
2,341
Points
1,225
H

Haika

JF-Expert Member
Joined Mar 3, 2008
2,341 1,225
Nadhani kama mleta mada analeta jambo serious kama jili huku wakati 90% yetu tunaisikia hii habari kwenye vyombo mbalimbali ni hakika anatamani ubishi, kejeli, kero, dharau na labda matusi.
Humu wachache sana wanaujua ukweli. Mwanasheria nenda mahakamani.
Humu ni stori.
 
A

adolay

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2011
Messages
9,877
Points
2,000
A

adolay

JF-Expert Member
Joined Dec 8, 2011
9,877 2,000
Wewe stor nyingi makamba aalitangaza majimbo walioshinda yaani idad ya viti na kuhusu uraia akasema hyo n kazi ya tume tofaut na huyo babu wenu msanii yy anakwambia anaongoza kwa 57% baadae anasema 62% haahhahaa watanzania tumemhukum mwizi wetu wa Richmond...
Unajuwa unachokiandika? Hatufanyi propaganda hapa.

Na ufaham kwamba makamba alianza ujinga huu hata kabla ya kupiga kura na akaendelea na propaganda hizi kuweka sawa mapito ya tume ya ccm chin ya Lubuva.

Na ufaham kwamba si wewe peke yako ulitangaziwa

Na kama somo la simple mathematics na analysis zake linakupiga chenga ndo yale tulioambiwa Elimu x3
 
Crucial Man

Crucial Man

JF-Expert Member
Joined
Jan 11, 2011
Messages
3,403
Points
2,000
Crucial Man

Crucial Man

JF-Expert Member
Joined Jan 11, 2011
3,403 2,000
Kama mpelelezi, kwenye tukio lolote huwa kuna kitu tunaita 4 whisky one hotel .
Yaani when, where, what time, why,how.
Walio muua mawazo wamemuuwa mchan kweupe SAA sita mchana..aliuwawa wapi? Alikuwa na wakina nani kabla mauti hayajamfika?
Tukianzia hapo tutapata majibu sahihi
 
jd41

jd41

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2015
Messages
2,608
Points
2,000
jd41

jd41

JF-Expert Member
Joined Aug 23, 2015
2,608 2,000
Hata angeshinda kesi yake kulikuwa na threat gani kwa CCM iliyoshinda viti zaidi ya nusu ya viti vyote majimboni kwenye uchaguzi huu??????
...hivi unaijua ccm vizuri wewe "mwanasheria"?! mbona mbagala mmeipora japo mmeshinda viti vingi huko mikoani? kwa Kafulila je?!
Tatizo "mwanasheria" wewe unajenga hoja kigamba gamba, ndo mana wamekudharau kuanzia mwanzo wa thread yako..
 
Kiboko.

Kiboko.

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2013
Messages
2,771
Points
2,000
Kiboko.

Kiboko.

JF-Expert Member
Joined Jul 31, 2013
2,771 2,000
Unajuwa unachokiandika? Hatufanyi propaganda hapa.

Na ufaham kwamba makamba alianza ujinga huu hata kabla ya kupiga kura na akaendelea na propaganda hizi kuweka sawa mapito ya tume ya ccm chin ya Lubuva.

Na ufaham kwamba si wewe peke yako ulitangaziwa

Na kama somo la simple mathematics na analysis zake linakupiga chenga ndo yale tulioambiwa Elimu x3
Umepanic ww wataka pingana na ukweli maguful yupo ikulu na wabungr zaid ya 250 bungen hana homa lolote lipitalo CCM lmepita, lowasa alisema anajua njia zote za wiz na hatoibiwa kura sasa anaanza ngonjera,,, makamba aliajir wasom wafanye tafiti za ndan zkaipa CcM 69%, wakaja UVCcM wakaipa 75% wakaja twaweza 65% wakaja synvte 62% ukiona hapo ujue ushind ilikuwa lazma CCm...kat ya mikoa 32 lowasa kaongoza mikoa miNne tu huon hata aibu sema huyu ndo mshindi?khsah
 
TODAYS

TODAYS

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2014
Messages
4,904
Points
2,000
TODAYS

TODAYS

JF-Expert Member
Joined Apr 30, 2014
4,904 2,000
"Tusubiri uchunguzi wa polisi" vegas
Huwa nasikia na kufuatilia hiyo kauli ya hapo juu ambayo mwisho wa siku sijawahi kusikia majibu maridhawa kwa hizi nchi zetu za kiafrika na tz ikiwemo.
 
Last edited by a moderator:
realoctopus

realoctopus

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2014
Messages
3,222
Points
2,000
realoctopus

realoctopus

JF-Expert Member
Joined May 11, 2014
3,222 2,000
Uanasheria huu ni kazi kwelikweli hivi unaona we ni bonge la mwanasheria!! Hapa hata masaju ana afadhali
Sheria za bongo bana,huyu hanatofauti ni mkazia sheria eti m/kiti wa tume akitangaza matokea hayaruhusiwi kuhojiwa na chombo chochote wa mtu yeyote,inafurahisha sana kuwa na wanasheria kama hawa wanaojua ukweli wanauficha kwa kutumia sheria kandamizi
 
B

Blac kid

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2012
Messages
4,221
Points
2,000
B

Blac kid

JF-Expert Member
Joined Apr 1, 2012
4,221 2,000
Akijibu ya mwangosi nistue maana nimeitafuta toka page ya kwanza hadi sasa kimya
Hahahaha mkuu najua hawezi tatizo la double standard kwa wabongo limekuwa sugu sana
 
The Invincible

The Invincible

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2006
Messages
5,544
Points
2,000
The Invincible

The Invincible

JF-Expert Member
Joined May 6, 2006
5,544 2,000
Kama ulvosema mkuu, wengi humu hueneza chuki zisizokuwa na maana, Mawazo alishiriki kumtesa na kumuumiza vibaya kijana mmoja aliekuwa nae kwenye kikao cha ndan, walimhisi anawarekod ndio wakaanza kumpiga kumbe nje wapo wenzake wengi wakaingia ndan, fujo zkaaanza alivoona imekuwa balaa ndo akachukua bodaboda kukimbia wao wakachukua gar mfukuzia ndo kumshambulia...hvo bas niseme hil Mawazo kawaiwa tu angewashinda yy bdo mngemjaza hapa kama.shujaaa...Geita yote majimbo yapo CCM.sasa mchango wake yy chadema kama.mwenyekt n upi ? Au kumjaza ujinga na kumuita kamanda ^hata ruzuku hapat.ndo ujembe?
Wewe si kiboko; ni nyumbu.
 
TODAYS

TODAYS

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2014
Messages
4,904
Points
2,000
TODAYS

TODAYS

JF-Expert Member
Joined Apr 30, 2014
4,904 2,000
Amani ya Bwana iwe nanyi wadau,
...
Hili swali linaweza kuonekana la ajabu kwa watu ambao sio critical thinkers ila kwa critical thinkers ni swali la msingi na la muhimu sana kwa sababu hata upande kwa upelelezi unapoanza kuchunguza tukio ili kumuhusisha mtuhumiwa na mauaji kwanza wanaanzaga[\COLOR] kuangalia MOTIVE YAANI KWA LUGHA NYINGINE INTENTION.
...
MUNGU IBARIKI TANZANIA NA WATANZANIA.
Mkuu nimefurahi sana hapo kwenye color sina nia ya kukurekebisha. (wanaanzaga)
 

Forum statistics

Threads 1,336,381
Members 512,581
Posts 32,537,144
Top