Swali la kichokozi: Wapi yanapatikana madodoki?

Mbase1970

JF-Expert Member
Jun 11, 2015
6,053
4,595
Ndugu zangu wana JF

Kwasasa hii nchi imejaa wachafu wengi sana kisiasa. Kuna mafisadi kila pande kuanzia chama tawala na serikalini na hata baadhi ya vyama vya upinzani.

Ili kujenga Taifa la haki njia kuu ya kwanza ni kuliweka taifa katika hali ya usafi kwa maana kwamba wachafu wote watatakiwa wasafishwe na kutakata.

Swali je ni wapi madodoki yatapatkana?

Naomba tujadili.
 
Mh Humphrey Polepole wakati wa uchaguzi mkuu walikuwa na DODOKI aliloliita LEGITIMACY lkn alipoteuliwa kuwa kiongozi ndani ya CCM kashindwa kulitii ,kuliamini na kuliishi neno hili.

Jibu madodoki yote fake.
 
Back
Top Bottom