Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 46,994
- 144,329
Ndugu hapo ulipo naomba ufanye assumption ifuatayo.
Unaishi mtaa/kijiji kimoja na watu hawa,Mkapa,Kikwete,Lowassa na Pinda.
Katika mazingira hayo,unatokea uchaguzi wa mwenyekiti wa kijiji na miongoni mwa wananchi waliojitokeza kugombe na ambao watakaopigiwa kura ni Mkapa, Kikwete,Lowassa na Pinda kama wananchi wa kawaida tu kijijini kwako.
Sasa ndugu kati ya hao, bila kujali vyama vyao(assume wanatoka vyama tofauti),nani kati yao utamchagua awe mwenyekiti wako wa kijiji/mtaa?
Naomba majibu.