Swali kwenu CCM: Dalili za mvua ni mawingu au Dalili za mawingu ni mvua ? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Swali kwenu CCM: Dalili za mvua ni mawingu au Dalili za mawingu ni mvua ?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Pakawa, Jan 13, 2011.

 1. Pakawa

  Pakawa JF-Expert Member

  #1
  Jan 13, 2011
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 3,744
  Likes Received: 3,182
  Trophy Points: 280
  Kwenu ninyi muipendao CCM na viongozi wake tukianza na Mwenyekigoda jk,Katibu makamba na wengineo msululu mreeeeeefu.. Tusaidieni kujibu hili swali kipi ni sahihi Dalili za mvua ni mawingu au Dalili za mawingu ni mvua. Muda umefika wa kutuachia nchi yetu na mali yetu. Tumechokaaaaaaaaaaaaaa!!!
   
Loading...