Swali kwanini Zanzibar wanawakilishwa ktk bunge la JMT lakini Tanganyika haina wawakilishi Z'bar | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Swali kwanini Zanzibar wanawakilishwa ktk bunge la JMT lakini Tanganyika haina wawakilishi Z'bar

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Return Of Undertaker, Jul 4, 2012.

 1. Return Of Undertaker

  Return Of Undertaker JF-Expert Member

  #1
  Jul 4, 2012
  Joined: Jun 12, 2012
  Messages: 2,376
  Likes Received: 8,524
  Trophy Points: 280
  Mwenye jibu anisaidie
   
 2. F

  FJM JF-Expert Member

  #2
  Jul 4, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Werema anaweza kuwa na jibu (not)
   
 3. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #3
  Jul 4, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  ZANZIBAR ni mkoa kama DAR, kana unabisha sema basi kwanini wanawakilishwa
   
 4. Kilasara

  Kilasara JF-Expert Member

  #4
  Jul 4, 2012
  Joined: Dec 21, 2008
  Messages: 578
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Jibu ni kwamba"We bent backwards to accommodate Zanzibaris". It is matter of the tail wagging the dog, rather than the dog wagging the tail.
   
 5. Lyimo

  Lyimo JF-Expert Member

  #5
  Jul 4, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 3,828
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Ile ni serikali ya Mapinduzi, kwa hiyo baraza la uwakilishi ni la mambo yao. Bunge letu ni la Muungano wa nchi mbili, hivyo ni lazima liwakilishwe na pande zote. Hili swala lingekuwa fair kama tungekuwa na bunge/baraza la Tanganyika. Kwanini tunataka kuwaingilia? Kama mnaona kunamapungufu, basi ni vema ikawepo baraza/bunge na serikali ya Tanganyika.
   
 6. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #6
  Jul 4, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,606
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  WaZanzibari wote ni WaTanzania lakini si kila Mtanzania ni Mzanzibari ) Wanatoka Zanzibar ipo na inawakilishwa

  WaTanganyika wote ni waTanzania lakini si kila Mtanzania ni Mtanganyika. ) Wanatoka Tanganyika lakini haipo ,hawa wabunge wasio waZanzibari ndani ya bunge wanatokea wapi ??
   
 7. Inconvenient Truths

  Inconvenient Truths JF-Expert Member

  #7
  Sep 14, 2017
  Joined: Oct 21, 2014
  Messages: 421
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 60
  .......
   
Loading...