Swali: Kwanini viongozi wengi wa Afrika hung'ang'ania madaraka baada ya muda kuisha?

Benjamini Netanyahu

JF-Expert Member
Aug 7, 2014
80,836
93,615
Kwanini viongozi wengi wa Africa hung'ang'ani madarakani baada ya muda wao kuisha? mfano Marais, Mwenyeviti wa vyama n.k.
 
Hivi ni sababu zipi hasa zinawafanya hawa viongozi wa Africa kung'ang'ania madaraka kiasi kwamba yupo tayari wananchi wake kupoteza maisha kwa mapigano ya wenyewe kwa wenywe???

Je hawa viongozi wa Africa hawana hofu ya MUNGU ndani ya mioyo yao???

Je wanahisi kuwa wao tu ndo wenye uwezo wa kuongoza nchi wengine hawawezi??

Je n sababu zipi zinawafanya wang'ang'anie madaraka???

Hawaoni wakistaafu kama katiba inavyowaongoza watakuwa na Heshima kubwa tofauti na wanavyofanya sasa??
 
Kwanini viongozi wengi wa Africa hung'ang'ani madarakani baada ya muda wao kuisha? mfano Marais, Mwenyeviti wa vyama n.k.
Si bure unamsema Mbowe alienyofoa kinyemela kipengele kinachoweka ukomo wa madaraka chadema
 
Kama Mugabe mpk afie hapo hapo miaka 92 bado anakaa tuu ,Museven nae yaleyale haya huyu Lipumba nae kaonesha pumba zake
 
Kwa kuwa viongozi wa upinzania Afrika hawana dira na falsafa madhubuti - Leo ukiambiwa kwa mfano CHADEMA wanapingana na nini hawawezi kukueleza. Mwanzo walipiga kelele kuhusu barabara, maji na umeme - leo maji walau yapo, umeme REA inafanya kazi

Pia walikuwa wakipinga ufisadi - sasa wao wenyewe wamewakaribisha kila aina ya watu walioandamwa kwa ufisadi

IN SHORT WAPINZANI WANAONEKANA KUWA WATU HATARI ZAIDI KULIKO VIONGOZI WALIOKO MADARAKANI - SO KUWAACHIA NCHI WATU HATARI NI HATARI ZAIDI
 
Na ndo maana afrika ni masikini... bila utawala bora basi hamna namna tena....
1474483065525.jpg
Hebu angalia hii
 
Back
Top Bottom