SWALI; Kwanini Mashabiki wa Yanga wanapenda sana KUZIMIA uwanjani???

Mandla Jr.

JF-Expert Member
Dec 15, 2013
3,099
630
Wadau nimekuwa nikishuhudia kila mechi mashabiki wengi wa Yanga wakiwa wanazimia uwanjani?? Kulikoni juu ya hili au ni aina mpya ya ushangiliaji kwao??
 
sa unadhani utapataje confidence ya kutazama watu usoni ama kutembea kutoka uwanjani!!!!!!!
 
Yanga ni walevi wa pombe na ushindi wao uko bar.

Simba ni walevi wa mpira wa miguu, ushindi wao wanaupatia uwanjani.
 
sababu huwa wanaamini kila timu inayofungwa na Simba ni mbovu, hivyo ikitokea kwao hutamani kufa kabisa achilia mbali kuzimia...!!
 
Hii ndiyo simbaaaa!manji,riz1,jk,akilimali,kitenge na wewe yanga chaliiiiiiiiii!

Simba inaongoza kutwaa vikombe vya bonanza. Huo ndio ukweli. Hivi ni timu gani inaongoza kutwa ubingwa wa Tanganyika/Tanzania?
 
Wadau nimekuwa nikishuhudia kila mechi mashabiki wengi wa Yanga wakiwa wanazimia uwanjani?? Kulikoni juu ya hili au ni aina mpya ya ushangiliaji kwao??

Simba walitufundisha , kimbuka mechi ya mwisho ???
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom