Mandla Jr.
JF-Expert Member
- Dec 15, 2013
- 3,099
- 630
Wadau nimekuwa nikishuhudia kila mechi mashabiki wengi wa Yanga wakiwa wanazimia uwanjani?? Kulikoni juu ya hili au ni aina mpya ya ushangiliaji kwao??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha unafki, nani kazimia??
sa unadhani utapataje confidence ya kutazama watu usoni ama kutembea kutoka uwanjani!!!!!!!
sababu huwa wanaamini kila timu inayofungwa na Simba ni mbovu, hivyo ikitokea kwao hutamani kufa kabisa achilia mbali kuzimia...!!
Hii ndiyo simbaaaa!manji,riz1,jk,akilimali,kitenge na wewe yanga chaliiiiiiiiii!
Wadau nimekuwa nikishuhudia kila mechi mashabiki wengi wa Yanga wakiwa wanazimia uwanjani?? Kulikoni juu ya hili au ni aina mpya ya ushangiliaji kwao??
Hii ndiyo simbaaaa!manji,riz1,jk,akilimali,kitenge na wewe yanga chaliiiiiiiiii!
Unashangilia kombe la bonanza??! Ptuuuuu
Tunashangilia kuwachapa yanga sio kombe
Wadau nimekuwa nikishuhudia kila mechi mashabiki wengi wa Yanga wakiwa wanazimia uwanjani?? Kulikoni juu ya hili au ni aina mpya ya ushangiliaji kwao??
Walevi
Mechi ile ipi mbona unaleta historiaJe wa kwenu wakati wa mechi ile? Walikuwa wagonjwa???