Return Of Undertaker
JF-Expert Member
- Jun 12, 2012
- 4,572
- 26,883
Kwanini CCM wanafanya mabadiliko ya Katiba ya kumlinda Rais aliyeko madarakani (incumbent) aweze kugombea kipindi cha pili bila kupingwa ndani ya chama? Kwamba kipindi cha pili anapita bila kupingwa as long as ameshakuwa Rais awamu moja.
Wanahofia nini? Kwani Rais aliyepo madarakani akiruhusu na watu wengine kuchukua fomu ndani ya chama wakachuana kuna shida gani? Kama ameongoza vzr kipindi cha kwanza definately atawashinda tu wapinzani wake.
Lakini kuzuia watu wasigombee ili upitishwe peke yako ni woga usio na sababu. Kama unaweza kuogopa wanachama wenzio vp kwa wananchi? CCM acheni kupoteza muda kupitisha mabadiliko haya ya kijinga. Mnaweza kuzuia Rais (incumbent) asipate upinzani ndani ya chama lakini hamuwezi kuzuia asipate upinzani nje ya chama.
Mtampitisha bila kupingwa lakini akija kwa wananchi atakutana na wagombea wa CHADEMA, UDP, TLP etc. Upinzani ambao mlikataa asiupate ndani ya chama anakuja kuupata nje ya chama. Hii inakua haina maana.
Ni vizuri mkampa mgombea wenu (incumbrnt president) upinzani ndani ya chama ili imsaidie atakapokuja kupambana na wagombea wa vyama vingine. Kumpitisha peke yake ni kumfanya abweteke, na hiyo inaweza kumuathiri akija kuchuana na wagombea wa vya vingine.
Mwacheni agombee na watu wengine ndani ya chama, apingwe, ajue uchungu wa kutafuta kura, avuje jasho kutengeza conection, ajue umuhimu wa kulinda kura etc. Akimaliza hapo atakua ameiva. Akija kuchuana na wagombea wa vyama vingine hatapata changamoto kubwa, maana atakua na experienxe. Lakini mkimpa dezo ya kumpitisha bila kupingwa ndani ya chama, akija kukutana na wagombea wa vyama vingine ataona maruweruwe tu. Hatajua mikiki mikiki ya kutafuta kura.
However, hivi kwanini mumpitishe mgombea wenu apite bila kupingwa? Nyie kama chama kikongwe mnafundisha nini vyama vingine? Miaka zaidi ya 50 ya kutawala bado mnaogopa kupingwa? Shame.!
By Malisa