Swali kwa wote wanaojihusisha na mapenzi kinyume na maumbile (sehemu ya haja kubwa) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Swali kwa wote wanaojihusisha na mapenzi kinyume na maumbile (sehemu ya haja kubwa)

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by JATELO1, Feb 18, 2012.

 1. J

  JATELO1 JF-Expert Member

  #1
  Feb 18, 2012
  Joined: Oct 31, 2011
  Messages: 1,235
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 145
  HABARI ZENU WANAJAMVI,

  HILI SUALA NALIANDIKA HAPA LKN NAFAHAMU KWAMBA NITATUKANWA SANA HASA NA WALE WOTE AMBAO WAMESHABOBEA KATIKA HILI TENDO CHAFU LISILO LA KIMAADILI. HATAHIVYO, NAAMINI PIA KWAMBA WAPO WALE AMBAO KWAO UKWELI UNASIMAMA SIKU ZOTE NA KUJALI UTU WAO NA WA WENZAO, HIVYO WAO WATAWEZA KUJADILI JAMBO HILI KWA NAMNA YA KUSAIDIA JAMII ILI WAONDOKANE NA HUU UFEDHULI NA UCHAFU UNAOZIDI KUSHAMIRI KILA SIKU KATIKA JAMII YETU YA KITANZANIA. NDUGU ZANGU NIPO TAYARI KWA USHIRIKIANO NA MATUSI LKN NI LAZIMA TUFIKIE KIPINDI TUKEMEE YALE MAMBO YANAYOHARIBU JAMII YETU. Maswali yangu ninayauliza katika makundi tofautitofauti ya jamii kwa wale wote wanaojihusisha na huu ufedhuli na uchafu.

  a. Serikali na Watendaji wake.
  Ni muda mrefu sana tumekuwa tukilaumu Ohoo Serikali yetu imeshindwa ufanisi katika mambo mbalimbali na lawama zote tumekuwa tukielekeza kwa watendaji wa Serikali bila kujali ni kwa namna gani hata sisi wananchi tunawajibika katika harakati za kuiletea nchi maendeleo, kwa kila mtu kuwajibika katika nafasi yake. Hivi, tumewahi hata kuchukua nafasi na kufikiri ni kwa namna gani nasi tunachangia serikali yetu kushindwa kufanikisha mipango yake? Hivi hizi laana tunazoziletea nchi yetu kwa kufanya huu ufedhuli na uchafu wa kufanya mapenzi kinyume na maumbile tunauchukuliaje? Hivi nchi iliyolaaniwa itaweza kufanikiwa katika mambo yake ya kimaendeleo? Hivi unaweza ukatofautisha huu ushenzi unaofanywa sasa hivi kwenye jamii yetu na dhambi za Sodoma na Gomora?

  Je, kwa wale waumini wa Dini mbalimbali mnasemaje katika hili? kwamba Mungu anaweza kubariki watu na Serikali yao lkn watu hao hao wanajihusisha na laana mbaya sana ya kufanya mapenzi kinyume na maumbile? Hakika tusilaumu Serikali sana kama tunavyofanya sasa, japo ni kweli Serikali inatakiwa kuwa na mipango mizuri lkn hii yote haiwezi kufanikiwa katika jamii ambayo watu wake wanafikiria kufanya mapenzi kinyume na maumbile (sehemu maalumu kwa ajili ya kupitishia MAVI, wao sasa imekuwa sehemu ya starehe kwao).

  b. Dinii. Ukristo, Uislamu, Wabudha, Wayahudi, Wahindu, n.k
  Swali Kwenu nyinyi Wakristo/ Waislamu/ Wayahudi/ Wabudha/ Wahindu/ n.k; Wake kwa Waume, Vijana na watoto mnaojihusisha na huu uchafu naomba niwaulize swali kwamba; Hivi huwa mnajisikiaje mnapokuwa kwenye IBADA zenu za kila siku au kila wiki na huku unajielewa fika kwamba unajihusisha na mapenzi kunyume cha maumbile? Hivi hisia na nafsi yako inakuambiaje kuhusu huu uchafu anaojiusisha nao? unajisikia tu vizuri kwamba una amani na utabarikiwa wkt unajielewa kwamba either kwenye ndoa yako au nje ya ndoa au na girl friend wako/boy friend wako mnashiriki kufanya huu uchafu? Hivi ni sehemu gani katika Maandiko Mataatifu yanayohalalisha huu uchafu? Je, Mungu unayemwamini hajakuruhusu wewe Mwanamme kufanya mapenzi kwa kutumia Uume wako kwenye Uke wa Mwanamke? ni wapi huyo Mungu unayemwamini na kumwomba amekuruhusu ufanye mapenzi kupitia kwenye sehemu aliyokupa Mungu kwa ajili ya haja kubwa?

  Je na wewe mwanamke/msichana mwenye Imani, je ni wapi umepata huo ujasiri na uhalali wa kufanya na kushiriki huu uchafu na bado unajifanya kuwa muumini mzuri? Hivi mnajisikiaje pale maombi au swala inapofanywa na Mchungaji/ Padri/Askofu/Sheik, nk na wewe unashiriki huu uchafu? Hivi OLE iliyotolewa katika Vitabu Vitakatifu kuhusu WAFIRAJI NA WA***** hata hamuiogopi?iii. Dini ya AsiliHivi hata wale ambao wanaamini katika Dini za Asili, je kwa Imani zenu mnaruhusiwa kufanya huu ******? je nafsi zenu zinawasuta au mnajisikia vizuri tu kwamba na wewe unashiriki huu uchafu? Je, ni kwanini tunataka laana kizazi cha leo? Hivi hatuwezi hata kujifunza kutoka kwa Mababu zetu? hivi maadili yamekwenda wapi?

  C. Makundi ya watu katika Jamii yetu1. Mwanaume aliyeko kwenye ndoa + Mke wake wa ndoa
  -Nina swali kwako wewe Baba/Mwanaume ambaye una ndoa na ushiriki huu uchafu na mke wako, je huwa unajisikiaje unapotembea au unapokuwa katika shughuli zako za kila siku ziwe za binafsi au za kuajiriwa? hivi inapotokea wewe ni bosi ktk ofisi fulani lkn unajihusisha na huu uchafu kwa mkeo je wewe unajisikiaje nafsi yako? je waona kwamba uko salama kwamba unam**** Mkeo mkikutana naye? Haijalishi nani alikuwa wa kwanza kumuanzisha mwenzie lkn suala hapa ni kwamba, je unajisikiaje unapokuwa unashiriki huu uchafu? Je, unapomuona mkeo anakupa hiyo sehemu ya haja kubwa, nafsi yako iko salama tu? je, unamwambia mkeo akate kiuno? Je, baadaye unamwambia kwamba mpenzi wewe ni mtamu? je, mnapokuwa mmemaliza kufanya mapenzi unamwambiaje mkeo? kwamba umefurahi kutumia sehemu ya haja kubwa na hata aibu hauoni? EBU JIHOJI NAFSI YAKO KAMA UNADHANI UNACHOFANYA NI SAHIHI?

  2. Mwanaume aliyeko kwenye ndoa + Nyumba ndogo (Msichana ambaye hajaolewa)
  Nina swali kwako wewe Baba/Mwanaume ambaye una ndoa na ushiriki huu uchafu na msichana ambaye hajaolewa, je unajisikiaje unapokuwa unajihusisha na huu uchafu na unapofanya naye tendo hilo huku mkeo nyumbani umemwacha? Ni kwanini wewe baba unatumia nafasi yako kumdhalilisha huyu msichana? Je, ni kwanini unamzoeza huu uchafu binti wa watu? kwako unaona ni salama? Je, umewahi kuchukua muda na kufikiria kwamba malipo ni hapa hapa Duniani? kwamba huo uchafu unaomfanyia binti ya watu nawe kuna watu watamfanyia mwanao? Je, umewahi kuwaza unavyomdhalilisha huyo Binti/Msichana kwamba hata mwanao wa kumzaa naye akifanywa hivyo (kuingiziwa Uume sehemu ya haja kubwa) utajisikiaje? Je, utajisikiaje, unapomuona msichana wa watu ****** yanatepeta kwasababu ya huo uchafu unaomfanyia sehemu ya haja kubwa? Je, unapata ujasiri wa kumwambia kwamba umefurahi kutumia sehemu yake ya haja kubwa na hata aibu hauoni? EBU JIHOJI NAFSI YAKO KAMA UNADHANI UNACHOFANYA NI SAHIHI?

  3. Mwanaume mwenye ndoa + Mke wa mtu mwingine; Mke wa Mtu + Kijana ambaye hajaoa bado
  Nina swali kwako wewe Baba/Mwanaume ambaye una ndoa na ushiriki huu uchafu na mke wa mtu mwingine, je huwa unajisikiaje unapofanya huu uchafu na mke wa mtu mwinigine? Je, umewahi kuwaza kwamba kuhusu uwezekano wa mtu mwingine kufanya huo uchafu na mkeo pia? au na mwanao?Je, baadaye unamwambia kwamba mpenzi wewe ni mtaalamu wa mapenzi kwasababu amekupa sehemu yake ya haja kubwa? je, mnapokuwa mmemaliza kufanya mapenzi unamwambiaje huyo mke wa mtu mwingine/jamaa yako? kwamba umefurahi kutumia sehemu yake ya haja kubwa na hata aibu hauoni?

  Hivi na wewe mama mke wa mtu, unajisikiaje pale unapojihusisha na huu uchafu na mme wa mtu mwingine? unaona ni bora tu unampa mwanaume sehemu yako ya haja kubwa ili aweze kutumia na ukitoka hapo unajisikia una amani? Hivi ni kwanini wewe mama unajidhalilisha hivi? Je, hauthamini kabisa hicho kiungo na kuzingatia kazi yake ya kutolea uchafu? Hivi utaweza kupata ujasiri kweli hata wa kumkanya mwanao wk wewe mwenyewe unashiriki huo Usodoma na Ugomora? EBU JIHOJI NAFSI YAKO KAMA UNADHANI UNACHOFANYA NI SAHIHI?

  4. Kijana wa kiume (Bachelor) + Msichana ambaye hajaolewa ( Girl Friend wako au wale ambao mmekutana tu kwa kipindi kifupi).
  Nina swali kwako wewe kijana wa Kiume na Kike ambaye unashiriki huu uchafu na aidha GF au BF wako, je huwa unajisikiaje unapokuwa unajihusisha na huu uchafu kwa mwenzio? je wewe unajisikiaje nafsi yako? je waona kwamba uko salama kwamba unam**** Mpenzi/mchumba/GF/BF wako? Haijalishi nani alikuwa wa kwanza kumuanzisha mwenzie lkn suala hapa ni kwamba, je unajisikiaje unapokuwa unashiriki huu uchafu? Je, unapomuona mwenzio anakuomba au anakupa hiyo sehemu ya haja kubwa, nafsi yako iko salama tu? je, unamwambia mwenzio akate kiuno? Je, baadaye unamwambia kwamba mpenzi wewe ni mtamu? je, mnapokuwa mmemaliza kufanya mapenzi unamwambiaje mwenzio? kwamba umefurahi kutumia sehemu yake ya haja kubwa na hata aibu hauoni?

  Hivi na wewe Msichana, Uke si unao? Je ni kwanini unampa mwanaume sehemu yako ya haja kubwa? nani kakudanganya kwamba ndiyo upendo? then, unajisikia salama tu mwenye furaha kwamba ume*****? AIBU KUBWA KAMA HII HATA HUWEZI KUSIMAMA NA KUCHUKUA HATUA? Kwanini kujidhalilisha wewe dada? EBU JIHOJI NAFSI YAKO KAMA UNADHANI UNACHOFANYA NI SAHIHI?

  NB: Soma kwa makini na uelewe ndipo utoe comment zako hasa sehemu inayokugusa. Pia MOD naomba hii thread isihamishiwe kwenye Jukwaa lolote, kwani hapa MMU ndiyo kuna watu wengi sana na Jamii yetu inaelekea kubaya, hivyo ni jukumu langu, wewe, yule na yeye katika kusaidiana katika kushauriana. Mwenye ufahamu na akili atafikiri na kuyafanyia kazi na yeye atakuwa amesaidiwa katika hili janga kubwa linaloharibu vijna wetu siku hizi.
   
 2. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #2
  Feb 18, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,463
  Trophy Points: 280
  wtf............
   
 3. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #3
  Feb 18, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  Exactly..
   
 4. platozoom

  platozoom JF-Expert Member

  #4
  Feb 18, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 7,313
  Likes Received: 2,271
  Trophy Points: 280
  Subiri utakavyopondwa...watakwambia mbona hata nchi zilizoendelea wanafanya hayo mambo kwa sana.Jiandae kwa hoja la sivyo utagombana na watu,ukizidiwa nitarudi kukusaidia!!
   
 5. J

  JATELO1 JF-Expert Member

  #5
  Feb 18, 2012
  Joined: Oct 31, 2011
  Messages: 1,235
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 145
  Ahsante sana na ukumbuke kurudi ili unisaidie katika hili. Nafahamu hilo na wacha wanitukane sana tu lkn naamini watakuwepo wale wenye kuweza kuona hili tatizo na kuungana nami katika kulikemea hili. Pia naamini, kwamba wapo wale watakaoweza kuchukua hatua. Lakini nitafurahi sana kutukanwa hasa na yule atakayekuwa umesome kile kilichoandikwa na kuelewa. Lkn nitahuzunishwa sana na yule atakayenitukana bila kusoma na kuelewa kile kilichoandikwa.
   
 6. babukijana

  babukijana JF-Expert Member

  #6
  Feb 18, 2012
  Joined: Jul 21, 2009
  Messages: 4,807
  Likes Received: 1,142
  Trophy Points: 280
  haya neeeext
  tatizo usikute mwandishi nae katoka kufanya usodoma huo na viroba vyake vikamtuma aandike sredi hii.
  Subiri majibu kiongozi
   
 7. J

  JATELO1 JF-Expert Member

  #7
  Feb 18, 2012
  Joined: Oct 31, 2011
  Messages: 1,235
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 145
  Ahsante. Ndugu yangu mimi siyo mnafiki, hivyo siwezi kuleta kitu ninachoshiriki. Na ukijaribu kufiuatilia thread yangu humu utagundua hata aina ya thread ninazochangia zina mwelekeo gani. Hivyo shaka ondoa kabisa, kwani nafsi yangu iko huru kwasababu siwezi kushiriki tendo hilo na badala yake naumia sana kila ninapoona vijana wengi sana katika jamii yetu wanashabikia huo uchafu.
   
 8. J

  JATELO1 JF-Expert Member

  #8
  Feb 18, 2012
  Joined: Oct 31, 2011
  Messages: 1,235
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 145
  Ukweli mtupu. Hongera kwa kutusemea sisi wengine katika jamii.
   
 9. Lokissa

  Lokissa JF-Expert Member

  #9
  Feb 18, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 7,079
  Likes Received: 154
  Trophy Points: 160
  nashindwa kusoma huyu bwana hata editing inamshinda
   
 10. J

  JATELO1 JF-Expert Member

  #10
  Feb 18, 2012
  Joined: Oct 31, 2011
  Messages: 1,235
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 145
  Ahsante sana kwa kunikumbusha. Tayari nimefanya editing.
   
 11. Maundumula

  Maundumula JF-Expert Member

  #11
  Feb 18, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 7,055
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  capital letters=shouting
   
 12. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #12
  Feb 18, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,867
  Likes Received: 6,218
  Trophy Points: 280
  mie hapa nitakua msomaji, subiri wadau waje
   
 13. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #13
  Feb 18, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,799
  Trophy Points: 280
  Yap!!!!
   
 14. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #14
  Feb 18, 2012
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  Telo, katika liturgia ya misa katoliki wakati wa kubadili mkate kuwa mwili wa Yesu,Padre huwa anatamka hivi:...Ee Baba usiangalie matendo yetu bali imani ya Kanisa lako Takatifu.....'je unaelewa Kanisa linamaanisha nini hapa? Tafakari,jipime na uone wewe ni msafi kiasi gani kabla hujatoa hukumu nzito kama ulivyofanya kwenye thread yako hii.
  Nahitimisha kwa kukupa ushauri wa bure:
  Waislam wanasema ....'swali kabla hujaswaliwa...'
  Telo.weka bidii ya kutosha katika kuokoa roho yako through prayers,kufunga,kutoa sadaka etc badala ya kuhangaika na private affairs za watu wengine ambazo kusema kweli hazikuhusu wala kukuathiri kwa lolote kwani unayolalamikia yanafanyika vyumbani na wala hujawahi kuyashuhudia kwa macho yako.Kumbuka duniani humu kila mja kaja kivyake na ataondoka kivyake.STOP JUDGING LEST YOU BE JUDGED!
   
 15. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #15
  Feb 18, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,506
  Likes Received: 2,248
  Trophy Points: 280
  Bishanga, mbona hajahukumu bali ametoa benefit of doubt? Swali ni je, unaona ni sahihi?
   
 16. simplemind

  simplemind JF-Expert Member

  #16
  Feb 18, 2012
  Joined: Apr 10, 2009
  Messages: 11,800
  Likes Received: 2,571
  Trophy Points: 280
  Maelezo marefu sana ,hebu tupe summary ili tuchangie.
   
 17. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #17
  Feb 18, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,506
  Likes Received: 2,248
  Trophy Points: 280
  Ndugu, kuhusu serikali, haiwezi kuingilia mambo hayo ambayo yako mafichoni. Inachoweza kufanya ni kujitahidi kuzuia ndoa za jinsia moja japo na huu utandawazi itafika mahali tutashindwa kuishi kama nchi kisiwani.
  Nashangaa inapingwa wanaume kutumia njia ya haja kubwa, huwa najiuliza ya mwanaume na mwanamke ina tofauti gani? Ukipata confession za mtu mmoja mmoja juu ya mambo na maisha yao binafsi utabaki mdomo wazi. Lakini nikutoe shaka, Bible inasema Mungu ananyesha mvua yake kwa wema na wabaya. Kuna watakatifu wachache ambao kwa ajili yao sie wote tunapata lifti.
  Hali ni mbaya, na hakuna anaekubali wazi kuwa anafanya haya.wakubwa hawakemewi, wanaelezwa. Asante kwa kutukumbusha kuwa kila mtu asimamie anachokiamini. Hata uzinzi ni dhambi lakini tumejihalalishia, kuna siku hata ya wanaume kwa wanaume itahalalishwa kama hii ya mlango wa uani kwa wanawake.
   
 18. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #18
  Feb 18, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 50,860
  Likes Received: 23,488
  Trophy Points: 280
  Ukishapata majibu uanzishe sredi nyingine (ila isiwe ndefu, wengine tumezoea makalkuleshen tu..) uulize je pia ni sahihi kunyonyana vikojoleo?
   
 19. daughter

  daughter JF-Expert Member

  #19
  Feb 18, 2012
  Joined: Jun 22, 2009
  Messages: 1,274
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Babu umepinda wewe
   
 20. L

  Lutu2 Member

  #20
  Feb 18, 2012
  Joined: Mar 11, 2010
  Messages: 38
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kweli bwana hii hali ya 'tigo' imezidi kushika anga hapa Tanzania,kwa mfano hapa ofisini kwetu kuna jamaa huyo kaowa mwaka jana tu lakini sijui kama anamla tigo mke wake au la kwa sababu kabla ya hapo jamaa alikuwa mchafuzi kuanzia kwa wanafunzi wa secondary hadi kwa wake za watu naye alikuwa anajisifu kuwa hawezi kutembea na mwanamke bila kumla tigo na hili nililithibitisha mwenyewe kwani mafuta ya KY yalikuwa hayakosi kwenye gari lake pia kuna wake za watu wawili nasikitika kusema kuwa aliwala tigo ila aligonga mwamba kwa mwanamke wa tatu kwani ulitokea ugomvi hadi sasa hawaongei,alim**** kwa nguvu hadi akachanika ****** ,aliokolewa na wahudumu wa gesti na huko ndo nilipata habari ikabidi siku moja nimuulize huyo mwanamke ni kwa nini hawasalimiani na huyo jamaa,huyo mwanamke alichonijibu kilikamilisha upelelezi wangu,kwani alisema 'MIMI NA WATU WA MOMBASA MBALIMBALI'

  Pia kuna wanawake ku***** ni jadi kwani utamkuta mwanake kaolewa lakini ile mumewe kumtia kidole tu au kugusa tigoni unakuwa ugomvi,ila unakuta ana bwana mwingine nje tena anayejisifia kuwa anam**** vizuri.

  HIZI NI NYAKATI ZA SODOMA NA GOMOLA ZINARUDI

   
Loading...