SWALI KWA WIZARA :Nini UMUHIMU WA KWENDA SHULE? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

SWALI KWA WIZARA :Nini UMUHIMU WA KWENDA SHULE?

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Kachanchabuseta, Dec 13, 2010.

 1. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #1
  Dec 13, 2010
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  WanaJamvi mimi nina maswali yangu kwa Wizara ya elimu

  Nina watoto wangu bado wanaendelea kusoma lakini mimi nimetumia nguvu nyingi kusoma mpaka nimefikia hapa nilipo kwa elimu yangu inanitosha kuisha katika maisha haya, sasa nina mpango wa kuwaachisha watoto wangu shule/chuo maana siku hizi vyeti mtu unapewa hata kama hujaenda shule. Nataka kufanya uamuzi huu maana inauma na kusikitisha saana kuona watoto wangu wanaenda shule/chuo wakati wengine wanapewa vyeti na mavyeti


  Maswali kwa Wizara ya Elimu

  1. Taifa linaenda wapi kama kula mtu atajigawia cheti na kusema kasoma?

  2. Je kuna haja gani ya watu/watoto wangu kwenda shule/chuo?

  3 Kuna haja gani ya kuanzisha vyuo kama UDSM or UDOM etc?

  4. Kwanni watu wanapewa vyeti na kuvitumia wakati hawajaenda dalasani? Wizara na idara zake (TCU) wamelala?

  5. Kwanini watu wanatumia vyeti vyao kuwazalau walioingia darasani?


  6. Je madarasa tuyageuze majumba ya makumbusho??

  WanaJF msaada wenu
   
 2. Horseshoe Arch

  Horseshoe Arch JF-Expert Member

  #2
  Dec 13, 2010
  Joined: Aug 10, 2009
  Messages: 11,230
  Likes Received: 4,951
  Trophy Points: 280
   
 3. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #3
  Dec 13, 2010
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
   
Loading...