Swali kwa waziri sitta.(kwa nini nchi moja ina marais wawili?)

tpmazembe

JF-Expert Member
Jan 5, 2012
2,469
581
Leo katika gazeti la mwananchi front page namuona waziri sitta akihoja "Ni wapi duniani umewahi kuona nchi moja ina marais watatu?".

Sasa hapo hapo nikapata swali mbona nchi moja ilipokuwa na marais wawili hakuhoji?
 
Nashangaa nadhani viongozi wa tanganyika wanapenda muungano ambao waznz hawautaki, labda kuna siri nzito za kiutawala,uchumi,ulinzi,madeni ya taifa , malengo ya millenia na vitu kama hivyo
 
Back
Top Bottom