Swali kwa wazazi: Binti yako akianza kukomaaa...

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Mar 10, 2006
33,474
39,987
black_teen_pregnancy.jpg

1. Utakuwa unampatia vidonge vya uzazi ili kumsaidia asije kupata mimba au utatumia maneno na kushauriana tu?
2.Utahakikisha anajua namna ya kutumia kinga nyingine za magonjwa ya STD na za kuzuia mimba
3. Utamwacha ajifunze mbele ya safari na maboyfriend wake?
 
Hakuna sex until marriage..
au awe above 21.....ndo mengine yatafuata...
vitabu na majarida na dini sana...
ikishindikana. mashangazi wanaitwa..

But Baba eti umwambie binti yako atumie vidonge au condom?
hiyo ni 'abomination aisee
 
1. Utakuwa unampatia vidonge vya uzazi ili kumsaidia asije kupata mimba au utatumia maneno na kushauriana tu?
2.Utahakikisha anajua namna ya kutumia kinga nyingine za magonjwa ya STD na za kuzuia mimba
3. Utamwacha ajifunze mbele ya safari na maboyfriend wake?
nimpe binti yangu vidonge vya uzazi?
nimfundishe jinsi ya kujikinga na magonjwa?
HAPANA!
na hii haimaanishi ndo namwacha eti ajifunze mbele ya safari na maboyfriend wake
mimi huongea nae na kumpa nafasi ya kujiamini na kujitambua kimwili,kihisia,kiakili na kiimani pia!
HUMUOMBEA SANA!maana changamoto ni nyingi!
 
Tabia ya mama ni mhimili mkubwa.

Japo mie ni binadamu, nitajaribu kadiri niwezavyo ku-walk the talk.

Kama hujawahi shuhudia mama ana vibuzi wala kusikia tuhuma, inakuwa ngumu sana kuanza kungonoka below 18.

Kuna neno huwa nakumbuka sana 'tabia yangu inawashuhudia, sina maneno zaidi, mkianza mapema mjue hamkutoa kwangu mama yenu'
 
ila kama nikihakikisha binti keshaanza kuliwa kabisa, najua hawezi kuacha, nitamhamasisha atumie ndomu kwa kwenda mbele.

Sitaki kuzika mwanangu aisee, hasa akiwa mdogo let say 17 kisa miwaya ama katoa mimba.

Na nitakuwa wazi, akipata mimba sehemu salama ya kusemea ni kwangu hata kabla ya kumweleza bazazi wake.

Afu mie nadhani mwanagu akianza mapema, nitamtafutia kabisa mtu nayeona anamfaa hadi atakapokua na kuamua kujichagulia wake.
 
Tabia ya mama ni mhimili mkubwa.

Japo mie ni binadamu, nitajaribu kadiri niwezavyo ku-walk the talk.

Kama hujawahi shuhudia mama ana vibuzi wala kusikia tuhuma, inakuwa ngumu sana kuanza kungonoka below 18.

Kuna neno huwa nakumbuka sana 'tabia yangu inawashuhudia, sina maneno zaidi, mkianza mapema mjue hamkutoa kwangu mama yenu'
mh!umenichoma ujue!
DAH!we acha tu konnie
 
pole, lakini ina ukweli mkubwa sana.

Katika kukua, hakuna stage ngumu kama kuvuka usichana.

Kwanza kuitwa itwa kunakufanya uamini wewe ni mzuri, achia mbali ukweli kwamba kama hujawahi kuwa mzuri kati ya 16 - 24 basi hujawahi kuwa mzuri.

Kuna saa unaimbishwa, na wewe unajikuta umeanza kuitikia korasi, lakini nafsi huwa inakuwa ngumu sana, kuvunja uliloaminishwa tangia mdogo.

Hata kama unataka kutoroka home uende kwenye tukio, ukikutana na maza mlangoni, maneno yake yanajirudia, historia ya tabia yake inakushuhudia, unageuza na unakipiga kibuti cha nguvu kibuzi.

Mie huwa naamini hata kama sijafanya utafiti, sauti ya mama ni sauti ya Mungu, japo kuwa wale wachache walioparaganyika hawapo kundi hili.

mh!umenichoma ujue!
DAH!we acha tu konnie
 
Nimewahi kusikia wapo baadhi ya wazazi wa kike wakiwapa binti zao ambao wako sexually active pills. Wakati baba hana idea!
 
Leo nimekumbuka kisa kimoja
nilikuwa na cousin sister alipoanza tu kuhusu wavulana...
aliambiwa tu 'kamlete huyo bf wako tumuone'...

Hakutokea mtu...lol

Hivi vibinti huwa havijiulizi hii kitu?
kama mtu yuko in love na wewe why ashindwe hata kuja nyumbani kwenu akiitwa?

Na hapo ilikuwa hakuna mimba wala nini.....
 
Nimewahi kusikia wapo baadhi ya wazazi wa kike wakiwapa binti zao ambao wako sexually active pills. Wakati baba hana idea!

Inategemeana na umri lakini
kiafrica hata binti wa miaka 25 anakuwepo home..
sasa asifundishwe kuhusu pills ikibidi?
 
Leo nimekumbuka kisa kimoja
nilikuwa na cousin sister alipoanza tu kuhusu wavulana...
aliambiwa tu 'kamlete huyo bf wako tumuone'...

Hakutokea mtu...lol

Hivi vibinti huwa havijiulizi hii kitu?
kama mtu yuko in love na wewe why ashindwe hata kuja nyumbani kwenu akiitwa?

Na hapo ilikuwa hakuna mimba wala nini.....
sio rahisi hivo bana!
we ulikuwa unaweza?
sio ulikuwa unatupa mawe juu ya bati wewe?uliwahi kwenda kwao na kumuulizia?
 
sio rahisi hivo bana!
we ulikuwa unaweza?
sio ulikuwa unatupa mawe juu ya bati wewe?uliwahi kwenda kwao na kumuulizia?

Za enzi zetu sio hizi za kukutana facebook..
za kwetu ilikuwa 'tunasoma wote' lol
au una urafiki na kaka mtu..
au familia zinafahamiana...birthday party mnaalikwa lol
yaani ni 'siri iliyo wazi'..ingawa sio official..
ukienda kwao unajifanya unaazima mkanda wa video vhs enzi hizo lol
wa bruce lee lol...
 
hizi mbinu hizi kha!ahahhahhahahahhahhahah umenikumbusha mbali sana i see!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom