Swali Kwa Watoto Kuhusu Wazazi

Amavubi

JF-Expert Member
Dec 9, 2010
30,156
13,249
swali la tafakuri kwa ambap wazazi walihangaika kutunza watoto na leo hii wazazi hao wanahangaika kwa kukosa matunzo uzeeni

Hivi Inawezekanaje Mzazi mmoja Kutunza watoto (say watoto 5) wengi na inashindikanaje watoto wengi kushindwa kutunza mzazi mmoja?
 
Kama una watoto basi watunze kadiri ya uwezo wako. Majukumu ya watoto wako ni kuwatunza watoto wao (wajukuu wako) kwa kiwango zaidi ya wao walivyofanyiwa na wewe.

Ikitokea watoto watakujali na wana uwezo wa kukutunza basi mshukuru Mungu. Msiwabugudhi watoto wenu huku radhi zikiwa midomoni eti kwa nini hawakutunzi.

Watoto sio retirement plan. Wakiwa na uwezo na kama watafuata mfano wako (kama na wewe uliwatunza wazazi wako- mabibi na mababu) ni kitu cha kufurahisha lakini sio shurti.
 
Mmh mtu hasipotunza wazazi wake anatafuta laana na tabu tu hapa dunian
 
Back
Top Bottom