Swali kwa watawala: Mnajua wanakokwenda hawa wahitimu wa JKT na Mgambo?

Kiboko ya Jiwe

JF-Expert Member
Apr 7, 2020
12,646
35,980
Nitajitahudi nisiweke maneno mengi kana kwamba natangaza biashara au kuna jambo nalijua. Nauliza tu. Je, mnajua hawa wahitimu wa mafunzo ya JKT na Mgambo wanakwenda wapi wakihitimu mafunzo yao?
 
Ukimaliza jkt unaenda chuo kikuu, unajiunga na majeshi yetu

Na wengine waliopata ujuzi huamua kwenda kwenye uzalishaji shambani
Jeshi la mgambo linafanya vizuri ngazi ya mtaa na kijiji kuwakabili wahuni na mapandikizi ya Mabeberu
 
Wapo waliojitolea kama akina sisi. Ukipaya nafasi unaenda kwenye taasis zingine za ulinzi.
 
Wapo waliojitolea kama akina sisi. Ukipaya nafasi unaenda kwenye taasis zingine za ulinzi.
kwa hiyo ulijitolea ili iweje si kujitolea muda wake ukiisha unatakiwa kurudi kwenu.Au ulitakaje.Unaambiwa unajitolea kwa mfano wiki moja ukishamaliza kujitolea kinachofuata rudi kwenu
 
Q
Uki
lmaliza jkt unaenda chuo kikuu, unajiunga na majeshi yetu

Na wengine waliopata ujuzi huamua kwenda kwenye uzalishaji shambani
Jeshi la mgambo linafanya vizuri ngazi ya mtaa na kijiji kuwakabili wahuni na mapandikizi ya Mabeberu
o
Naona mkuu umerudi
 
Wanaokimbilia huko bila ya kujua maana yake,ndo hawa watakaokuja kulalamika sana kuwa wapo mtaani na hawana ajira hali ya kuwa wao niwanajeshi,ila wamesahau mana na sababu za uwepo wa JKT na MGAMBO.
 
Nitajitahudi nisiweke maneno mengi kana kwamba natangaza biashara au kuna jambo nalijua. Nauliza tu. Je, mnajua hawa wahitimu wa mafunzo ya JKT na MGAMBO wanakwenda wapi wakihitimu mafunzo yao?
Kwani watu wengine wanakaa wapi?Au unataka kutuambia kwamba wanakwenda kufanya ujambazi.Basis ipe ushauri serikali,unashauri kifanyike nini?
 
kwa hiyo ulijitolea ili iweje si kujitolea muda wake ukiisha unatakiwa kurudi kwenu.Au ulitakaje.Unaambiwa unajitolea kwa mfano wiki moja ukishamaliza kujitolea kinachofuata rudi kwenu
Jeshini hamna kujitolea wiki moja. Intake yetu ilikuwa ni moja ua intake zenye bahati, wengi wetu tulikuwa wasomi na Almost wote tulichukuliwa kwenda taasis zingine.
 
Back
Top Bottom