Swali kwa wanawake

First Born

JF-Expert Member
Jul 11, 2011
5,310
1,473
Hivi nyie huwa hamridhiki msipodanganywa?

Lawama nyingi zinawaendea wanaume kuwa wanaongoza kwa kuwa waongo, especialy wakati wanapotongoza, utatamani umwone na pamba kali (wengine wanaazima), simu ya maana, gari zuri(bila kujua labda ni dereva wa boss flani) na maneno kibao kwmba ana miliki biashara fulani kubwa au anafanya kazi fulani ya maanaaaa!! Why?

Kwa nini mnatuweka katika mazingira magumu watoto wa wanawake wenzenu? Kwa nini isifike nikawa free tu kuja kumuapproach any girl no mater who am I? why money mbele, why?

Hamuoni kuwa this is the main reason inayowafanya mnaishia kulizwa na kuwaona wanaume wote watoto wa mama mmoja?
 
uonewe huruma na nani,jihurumie mwenyewe kwanza kwa kukimbilia kuvaa oversize.Wakilizwa wananyamaza maisha yanasonga hata wasiopenda pesa wanalizwa mbona.
 
Hakuna asiependa pesa we sema wapo wanaojua kupenda regardless ana pesa au hana!
 
Wewe mtoa mada kama huna pesa kuwa muwazi acha kujipa mauspoon ambayo hauna mapenzi ya dhati hutoka moyoni!!
 
Ngoja wanakuja wanamalizia kupewa dothi,si wamekula na kunywa sasa ni muda wa malipo...loading error...
 
Hivi nyie huwa hamridhiki msipodanganywa?

Lawama nyingi zinawaendea wanaume kuwa wanaongoza kwa kuwa waongo, especialy wakati wanapotongoza, utatamani umwone na pamba kali (wengine wanaazima), simu ya maana, gari zuri(bila kujua labda ni dereva wa boss flani) na maneno kibao kwmba ana miliki biashara fulani kubwa au anafanya kazi fulani ya maanaaaa!! Why?

Kwa nini mnatuweka katika mazingira magumu watoto wa wanawake wenzenu? Kwa nini isifike nikawa free tu kuja kumuapproach any girl no mater who am I? why money mbele, why?

Hamuoni kuwa this is the main reason inayowafanya mnaishia kulizwa na kuwaona wanaume wote watoto wa mama mmoja?

Ukimfuata msichana wa class yako wala hautasumbuka na kujionyesha.
 
Ubahili mwisho makete...

Hivyohivyo Vaislay anataka mwanamke anaejua kuoga,anavaa vizuri then uwe bahili kwani ni shangazi yako huyo?huna hela jiunge CHAPUTA sio unalialia kuhusu hela, mwanaume mzima hujui kuhudumia.
 
Kwa hyo wale wasio na uwezo hawana mapenzi?
 
Back
Top Bottom