First Born
JF-Expert Member
- Jul 11, 2011
- 5,310
- 1,473
Hivi nyie huwa hamridhiki msipodanganywa?
Lawama nyingi zinawaendea wanaume kuwa wanaongoza kwa kuwa waongo, especialy wakati wanapotongoza, utatamani umwone na pamba kali (wengine wanaazima), simu ya maana, gari zuri(bila kujua labda ni dereva wa boss flani) na maneno kibao kwmba ana miliki biashara fulani kubwa au anafanya kazi fulani ya maanaaaa!! Why?
Kwa nini mnatuweka katika mazingira magumu watoto wa wanawake wenzenu? Kwa nini isifike nikawa free tu kuja kumuapproach any girl no mater who am I? why money mbele, why?
Hamuoni kuwa this is the main reason inayowafanya mnaishia kulizwa na kuwaona wanaume wote watoto wa mama mmoja?