Swali kwa wanawake, yupi mwanaume bora, mwenye kuongeza mke wa pili au mwenye kuchepuka?

Mie siko kwenye taasisi hiyo maalum duniani ila huwa naonana na mambo yanayotokeaga kwenye taasisi hiyo na huwa nayatathmini.

Huwa siku zote nawaza na kusema ukweli nikwamba hakuna mwanaume ambaye ana mwanamke mmoja tuu. Hakuna na haipo. Na ukikuta yupo mwenye mwanamke mmoja aidha mgonjwa wa kisukari hivo huyo mmoja anahakikisha hachepuki ili asimtolee siri yake ya kusimamisha kwa kuvizia. Au ni mwanaume asiye na fedha ya kutosha kuwahudumia michepuko au sehemu zake za maungo ya kati hazifanyi vizuri au zimedhoofu (yaweza kuwa kapigwa kipapai cha hapo kati tuu hehehe natania) lakini picha ya mwanaume kwangu iko hivo na huwa sizing gani nayo wala kubishana nayo. Huo ni ukweli na nikipingana nao ntaishia kuumia mwenyewe.

Mwanaume mzuri ni yule anayemheshimu mwanamke aliyenae kwenye mahusiano. Yaani pamoja na kuwa na wanawake wengine huko nje hata siku moja haachi alama au hisia kuwa analindo la pembeni. Hapo mkewe anamuamini 1000% kuwa bwana wake ni wake peke yake hehehehehee kumbe akijua nyuma ya kisogo chake anaweza kuzimia au kufa kabisa.

Hivo kujibu swali lako bora mwanaume aoe wake hayaa 4 ila aweke wazi kwao wote kuwa nyie wote ni wangu na hapo awe mahari kweli kweli kuwahudumia wote hao kuanzia makazi mavazi chakula cha mdomoni na cha kwenye langu la kuingia duniani.

Swali kwako, wewe unatamani uweje. .... na mke mmoja kisha michepuko 4 au wake halali wasio wazi 4 bila mchepuko?

Kasie mahaba......
af huyu mdada huyu!! ivi una miaka mingapi wewe!! njoo in box nikwambie kitu
 
Nyaru- jina lako limenistua...
Nikajua somesing wa Mahaba kumbe siwoo...😅
Uko mule mule best angu! af km wa kunyumba vile! umejua mpaka hii! nyarusare rutambee? hapn aisee! Kumbe tuko mbali sana!
si unajua tena huwa nawaza home! but! piga ivoivo ndo sisi hao!
 
Wale wenye imani zinazoruhusu mke zaidi ya mmoja sawa, lakinii kwa mie siruhusu hata moja!!!
Imani gani hairuhusu mke zaidi ya mmoja..

Mapadri hawahoi lakini wanaishia kulawiti watoto wadogo.

Masister hawaolewi ila hawana bikra.

Hachana na masuala ya imani hishi kulingana na mazingira Kama mazingira yanaruhusu kuongeza mke mwingine ongeza....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom