Sijaoa bado so sijuhi
af huyu mdada huyu!! ivi una miaka mingapi wewe!! njoo in box nikwambie kituMie siko kwenye taasisi hiyo maalum duniani ila huwa naonana na mambo yanayotokeaga kwenye taasisi hiyo na huwa nayatathmini.
Huwa siku zote nawaza na kusema ukweli nikwamba hakuna mwanaume ambaye ana mwanamke mmoja tuu. Hakuna na haipo. Na ukikuta yupo mwenye mwanamke mmoja aidha mgonjwa wa kisukari hivo huyo mmoja anahakikisha hachepuki ili asimtolee siri yake ya kusimamisha kwa kuvizia. Au ni mwanaume asiye na fedha ya kutosha kuwahudumia michepuko au sehemu zake za maungo ya kati hazifanyi vizuri au zimedhoofu (yaweza kuwa kapigwa kipapai cha hapo kati tuu hehehe natania) lakini picha ya mwanaume kwangu iko hivo na huwa sizing gani nayo wala kubishana nayo. Huo ni ukweli na nikipingana nao ntaishia kuumia mwenyewe.
Mwanaume mzuri ni yule anayemheshimu mwanamke aliyenae kwenye mahusiano. Yaani pamoja na kuwa na wanawake wengine huko nje hata siku moja haachi alama au hisia kuwa analindo la pembeni. Hapo mkewe anamuamini 1000% kuwa bwana wake ni wake peke yake hehehehehee kumbe akijua nyuma ya kisogo chake anaweza kuzimia au kufa kabisa.
Hivo kujibu swali lako bora mwanaume aoe wake hayaa 4 ila aweke wazi kwao wote kuwa nyie wote ni wangu na hapo awe mahari kweli kweli kuwahudumia wote hao kuanzia makazi mavazi chakula cha mdomoni na cha kwenye langu la kuingia duniani.
Swali kwako, wewe unatamani uweje. .... na mke mmoja kisha michepuko 4 au wake halali wasio wazi 4 bila mchepuko?
Kasie mahaba......
Uko mule mule best angu! af km wa kunyumba vile! umejua mpaka hii! nyarusare rutambee? hapn aisee! Kumbe tuko mbali sana!Nyaru- jina lako limenistua...
Nikajua somesing wa Mahaba kumbe siwoo...😅
Imani gani hairuhusu mke zaidi ya mmoja..Wale wenye imani zinazoruhusu mke zaidi ya mmoja sawa, lakinii kwa mie siruhusu hata moja!!!