Swali kwa wanawake tu: Unamchukuliaje mwanaume ambaye maisha yake yote anayaweka wazi mtandaoni?

pwilo

JF-Expert Member
May 27, 2015
10,098
12,469
Habari za weekend wadau,

Maisha yamebadilika sana kutokana na utandawazi na life style pia imebadilika na kufanya watu kutumia social network ku share kila kitu walichonacho au wanachopitia sasa leo nataka wadada mtoe maoni yenu kutokana na wanaume wenye tabia hzo.

Hivi mwanaume ambaye anapenda sana kuweka maisha yake kwenye social network mnamchukuliaje? Yupo Dar anaenda Morogoro anapost ticket yake status.

Kanunua simu mpya inawekwa status na box lake na risiti yake. Haipiti siku bila kupost picha zake tena mpaka duara linajaa lile la status. Mwanaume ambaye anapost picha yupo geto kwake na vitu vyake vyote vya ndani vinaonekana anavyomiliki tena mara kwa mara.

Mwanaume anayefanya birthday party kubwa sana mpaka week inaisha bado anasherehekea tu birthday. Hiyo ni mifano tu ila wapo wa aina tofauti tofauti na hao. Akiumwa anatuma picha status anachoma sindano huku anatoa ulimi nje kama mbuzi.

Mnamchukuliaje?
 
Habari za weekend wadau,

Maisha yamebadilika sana kutokana na utandawazi na life style pia imebadilika na kufanya watu kutumia social network ku share kila kitu walichonacho au wanachopitia sasa leo nataka wadada mtoe maoni yenu kutokana na wanaume wenye tabia hzo.

Hivi mwanaume ambaye anapenda sana kuweka maisha yake kwenye social network mnamchukuliaje ?

Yupo dar anaenda morogoro anapost ticket yake status.

Kanunua simu mpya inawekwa status na box lake na risiti yake.

Haipiti siku bila kupost picha zake tena mpaka duara linajaa lile la status.

Mwanaume ambaye anapost picha yupo geto kwake na vitu vyake vyote vya ndani vinaonekana anavyomiliki tena mara kwa mara.

Mwanaume anayefanya birthday party kubwa sana mpaka week inaisha bado anasherehekea tu birthday.

Hiyo ni mifano tu ila wapo wa aina tofauti tofauti na hao.

Akiumwa anatuma picha status anachoma sindano huku anatoa ulimi nje kama mbuzi.

Mnamchukuliaje?
The reality of men today.
1. women initiate most of the divorce casses.
2. they get bored easily.
3. Hypergramy.
4. More emotional than rational.
5. Justice system favours them in settlements.
6. Love alone Is not enough.
7. there's no benefit to a men getting married anymore.
 
The reality of men today.
1. women initiate most of the divorce casses.
2. they get bored easily.
3. Hypergramy.
4. More emotional than rational.
5. Justice system favours them in settlements.
6. Love alone Is not enough.
7. there's no benefit to a men getting married anymore.
Tunaoa kwa ajili ya kupata faraja ya baadae ambayo ni watoto ila ndoa ni kaburi linaloishi.
 
Mimi wa hivo hapana kwakweli mana mi mwenyew hata kuweka status mtihani.
Na nikiweka siwezi weka picha yangu kabisa.
Sina picha yoyote kwenye mtandao wowote wakijamii.
Sasa mimi namuona huyo limbukeni mana kuacha social network hata katika maisha ya kawaida anaonekana anapenda sifa na akiwa na kitu anataka kila mtu ajue.
Hana privacy

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom