illuh
JF-Expert Member
- Mar 17, 2014
- 1,254
- 698
Hivi ni kwanini baadhi ya wanaume wakikutaka ukiwakatalia wanakununia na kuweka bifu?
Kwamimi naimani ukitongoza utegemee YES or NO (si kila unayemtongoza akubali)
Pia huwezi jua yule unayemtongoza akakukatalia anakuepusha na nini kwani siri ya mtu ni kichaka Pengine anaugonjwa hapendi kukuambukiza, pengine anamahusiano na mtu unayemjua nk...
Sielewi kwanini huwa wengi wao wanakasirika ..
Samahanini labda mnafahamu ni kwanini