Swali kwa wanaume | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Swali kwa wanaume

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by mimi-soso, Oct 21, 2009.

 1. m

  mimi-soso Senior Member

  #1
  Oct 21, 2009
  Joined: Feb 11, 2008
  Messages: 151
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Hivi kwanini nyinyi wanaume mnaona kuwa ni sawa nyinyi kuchepuka nje ya ndoa na mngependa wake zenu wawasamehe kama ikikotea limebumburuka, ila mnakuwa wagumu sana kusamehe ikitokea my waifu wenu amechepuka?

  Kwani mnadhani sisi huwa hatuumii? yale maumivu mnayoyasikia nyinyi na sisi huwa tunasikia kama hayo hayo kiasi hichohicho.

  Maana nimegundua hata kama msela ni kiwembe vipi akisikia hata mmoja wa mademu wake kamegwa ana-mind, why mnasahau kuwa na nyinyi mna mega sana?
   
 2. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #2
  Oct 21, 2009
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 271
  Trophy Points: 180
  ndo maana niliweka nadhiri sitamega nje ya ndoa yangu na kwa miaka saba sasa nimefaulu kutokumega nje. mimi naonavyo kwanza hakuna mwanaume asiyempenda mkewe labda tofauti inakuja kwenye tafsiri ya kupenda ni nini na mipaka yake wapi inaishia kitu cha kwanza maumbile wanawake mnamsemo kwamba ile kitu sio chaki huwa haiishi. mwanaume hadhi yake heshima yake yote inalindwa na mkewe, km unabisha mtaani kwenu fanya uchunguzi km mke wa mtu anatoka nje ya ndoa mwanaume utadharaulika sana mtaani hutaonekana wewe ni mwanamme rijali personally hata mwenyewe unaweza ukawa kichaa. nna mfano halisi kuna jamaa yangu alioa, mwanamke kabla ya hapo alikuwa masomoni cuba 4 yrs. aliporudi jamaa aka propose demu alionekana kusita sita lkn jamaa aliimbisha na km kawaida wapambe na mashosti wa demu wakamshawishi sana demu akakubali, mama wa mwanaume aliiona ile sitasita ya demu akamwambia mwanae huyu mwanamke anaonekana hayuko tayari kuishi na wewe lkn jamaa yeye mapenzi yalimpofusha hakuliona hilo ndoa ikafungwa arusha. after 8 month demu akapata scolarship japan miaka miwili shule tena jamaa akafurahi wife akaenda japan. jamb na yeye kumbe walipanga baadaye na mwaume aache kazi amfuate mkewe japan kule akatafute kazi wakati wife anasoma lkn siku zilivyokwenda mawasiliano yakawa pungufu, friends wakamwambia aende fasta akacheki kulikoni, mchizi akaomba likizo ya mwezi akauza na carina yake akapaa japan, dah kufika kule bwana akakuta mambo si mambo kumbe pale chuoni waafrika wapo wawili tu, huyu dada na mnigeria mwanaume halafu mpopoo ndo anamega wife wa jamaa, kumbuka jamaa alikwea pipa bila kumtaarifu wife kwamba nakuja, jamaa alipoyashuhudia hayo akageuza akarudi bongo hata kurudi kwake ilikuwa kimya kimya tu, hali yake ikabadirika ghafla akawa anadondoka dondoka anasema sema hovyo akapelekwa nairobi kwa matibabu hata aliporudi hakuwa bd fiti wengine wakamshauri aoe na wakamtafutia mwanamke ingawa alimkubali na wanaishi wote lkn jamaa yupo km kazubaa flani hivi tayari effects zilishaharibu ubongo akikaa sometimes udenda unamtoka tu. inaniuma sana nikimwona the guy ana csp ya materials management.mwanaume hapendi na itamnyanyasa sana na kumtesa kuona, kusikia kuna mtu kaoga kwenye kisima chake, mwanaume akioa au km ni ktk uhusiano anaamini kabisa yeye ndo the best pale, haiyumkiniki mwanaume mwingine apite pale. ila mwanaume akimega nje basi huonekana mjanja ktk jamii, wengine ni ishara ya kuwa na pesa, wengine huonekana rijali, asiyetawaliwa na mwanamke ilimradi kuhalalisha tu matendo maovu. mwisho km huamini mmeo anakupenda hata km anamega nje jaribu kumwambia mtu awe anakuandikia tu sms za mapenzi kwa testing halafu jifanye km umesahau simu uone jamaa atakavyochanganyiki wa hamtalala siku hiyo.
   
 3. m

  mimi-soso Senior Member

  #3
  Oct 21, 2009
  Joined: Feb 11, 2008
  Messages: 151
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Kwanza hongera kwa kuwa muaminifu, pili hapo ndio mnakosea mtizamo.

  Hata mwanamke anafeel the same way, anapokuwa na mume wake anaona kuwa yeye ndio best. Kama hujagundua lazima atakuuliza umekosa nini kwangu?

  Mwanamke pia anaoa kama umemuona ana kasoro, and it means huyo mwingine ni better kuliko yeye. Kifupi yaani vile unavyojisikia ndio na sisi tunajisikia hivyo hivyo sema Mwenyezi Mungu alitujalia ustahamilivu, tunapitia dhoruba nyingi sana nadhani ndio maana Mungu alituzawadia nguvu za ziada za kuvumilia

  Dunia ingekuwa bora sana kama watu before doing anything wangejiweka kwenye the other person shoe.
   
 4. Saikosisi

  Saikosisi JF-Expert Member

  #4
  Oct 21, 2009
  Joined: May 4, 2007
  Messages: 528
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  ni shauri ya mfumo dume; kwa hiyo mwanamme kuwa na wanawake wengi inaonekana kawaida wakati kwa mwanamke inakuwa kinyume cha hiyo.
  Poleni lakini kuweni waangalifu mkitoka nje ya ndoa mtapigwa talaka.
   
 5. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #5
  Oct 21, 2009
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  ...sababu ya Inputs/Outputs...

  Nyie wake zetu mna 'inputs' kwenye hizo extramarital affairs wakati sie waume zenu tuna 'outputs'... Fikiri na changanua wewe binafsi faida na hasara ya Inputs & Outputs kwenye kila kitu... Computer science, medicine, Economics... etc

  kisha tutajadiliana haya mambo ya 'emotional banking!'
   
 6. carmel

  carmel JF-Expert Member

  #6
  Oct 22, 2009
  Joined: Aug 24, 2009
  Messages: 2,841
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  hapa hutapata jibu la maana, simply because there is none.
   
 7. Nyamayao

  Nyamayao JF-Expert Member

  #7
  Oct 22, 2009
  Joined: Jan 22, 2009
  Messages: 6,980
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0

  wao wanadai ni "dharau kubwa" kwa mke wake kutoka nje lakini kwao wao aah wanaona ni jambo la kawaida.
   
 8. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #8
  Oct 22, 2009
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Men are made with extramarital traits since time immemorial!
  Kuwa na mke mmoja ndo jitihada kubwa kabisa ambayo mwanadamu wa kiume anaweza kufanya!...!
   
 9. GP

  GP JF-Expert Member

  #9
  Oct 22, 2009
  Joined: Feb 5, 2009
  Messages: 2,073
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  na je mkeo unauhakika gani kama hajamegwa??, ukimegewa nawe mega wa mwenzako, we jifanye mlokole tuu.
   
 10. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #10
  Oct 22, 2009
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,115
  Likes Received: 24,203
  Trophy Points: 280
  Mpwa hajui yule. The opposite is the truth kwenye hili. Kama wewe humegi basi ujue unamegewa! Unatuona tunaomega hatuna akili? Kalaghaboho!
   
 11. I

  Irene V Member

  #11
  Oct 22, 2009
  Joined: Oct 16, 2009
  Messages: 42
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nani aliyekudanganya kuwa dawa ya moto ni moto?
   
 12. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #12
  Oct 22, 2009
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Kwa hiyo nyie mnamegwa!!! heheeeeee, yaani wewe ni mwanamke na unakubali kwamba mnamegwa, Duh

  I though mnafanya mapenzi, hahaaa...

  Haya wa ku-megwa:mad::p;);):p
   
 13. m

  mimi-soso Senior Member

  #13
  Oct 22, 2009
  Joined: Feb 11, 2008
  Messages: 151
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Chrispin wewe unapenda tu kumega, coz sidhani hata kama umehisi kuwa mkeo anamegwa.

  Na kama huna uhakika mkeo anamegwa, mimi naomba sababu yako ya kumega nje
   
 14. I

  Irene V Member

  #14
  Oct 22, 2009
  Joined: Oct 16, 2009
  Messages: 42
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hapo nimegoma live
   
 15. GP

  GP JF-Expert Member

  #15
  Oct 22, 2009
  Joined: Feb 5, 2009
  Messages: 2,073
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  saaana, we poteza kujifanya humegi wenzako ndo tunamega.
  watoto wa mjini tunasema WEWE SHIKA PEMBE SISI TUKAMUE MAZIWA!.
   
 16. GP

  GP JF-Expert Member

  #16
  Oct 22, 2009
  Joined: Feb 5, 2009
  Messages: 2,073
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  ila nini??.
   
 17. Kisusi Mohammed

  Kisusi Mohammed JF-Expert Member

  #17
  Oct 22, 2009
  Joined: Aug 10, 2009
  Messages: 442
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 45
  Hii ni ngumu sana kupata jibu la moja kwa moja lakini kikubwa kilichopo kulamba nje ya ndoa si kuzuri kwa mwanaume na hata mwanamke kulambwa! Mi nadhani yote madhara yake huja kwenye heshima za wahusika, kwa hiyo kikubwa ni kujificha basi angalau mambo yako yasijulikane, yaani km mwanaume unamega huko nje ufanye kwa siri mkeo asijue, kwa sababu inaaminika kuwa kumega huko si kwa mapenzi ya dhati bali kwaweza kuwa ni kujisaidia tu kutokana na haja za kibinadamu!
   
 18. Z

  Zion Daughter JF-Expert Member

  #18
  Oct 22, 2009
  Joined: Jul 9, 2009
  Messages: 8,936
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  Ni maji mkuu!
   
 19. m

  mimi-soso Senior Member

  #19
  Oct 22, 2009
  Joined: Feb 11, 2008
  Messages: 151
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Kama kumega ni sifa na ni kuzuri, why kinakuuma mwenzio akimegwa?
   
 20. Calnde

  Calnde JF-Expert Member

  #20
  Oct 22, 2009
  Joined: Oct 7, 2008
  Messages: 1,373
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Point of correction,
  Si wanaume wote wapo hivyo> wengine tuu waaminifu kabisa. Na kabla hujalalamika mmeo anatoka nje jiulize kwanza uone kama unawezapata even hypothesis
   
Loading...