Swali kwa wanasheria wote kuhusu mahakama ya kazi na mgomo wa madaktari | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Swali kwa wanasheria wote kuhusu mahakama ya kazi na mgomo wa madaktari

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by SirBonge, Jun 26, 2012.

 1. S

  SirBonge JF-Expert Member

  #1
  Jun 26, 2012
  Joined: Jul 18, 2010
  Messages: 349
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 60
  Wandugu, je mahakama ya kazi nini majukumu yake hasa? ni kusuluhisha tu migogoro ya kazi au inaweza kushitaki?? Je hili la mahakama ya kazi kuwaamuru chama cha madaktari kusitisha mgomo wakati sio MAT walioitisha mgomo limekaaje kisheria??
  Tunaomba mtusaidie mnaojua sheria maana sisi wananchi tunaona kama serikali imeiingiza Chaka mahakama katika hili, na ni ujanja ili lisiendelee kuopngelewa popote Bungeni au kwenye vyombo vya habari kwa kisingizio kwamba liko mahakamani!
   
 2. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #2
  Jun 26, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Hakuna sheria bongo ni danganya toto tu, sheria gani zinazong'ata watu wa hali ya chini tu huku wa hali ya juu wakitamba!?
   
Loading...