Swali kwa WanaJF! Tangu kuanzishwa kwa Bunge la E/ Africa kuna faida gani kw Taifa?

LiverpoolFC

JF-Expert Member
Apr 12, 2011
11,348
3,216
Ni tangu mwaka 2001 tangu kuanzishwa kwa Bunge la E/Africa.

Swali langu ni nini faida ya kuanzishwa kwa Bunge hili?
Maana leo nimepata habari ya kuaminika ya kwamba kesho 23/05/2012 watakutana hapa Jijini Arusha.

Mwenye kujua faida yeyote iliyoletwa na kuunda kwa kitengo hiki kwa Taifa letu!

Nawasilisha!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom