Swali kwa wanajf:list of shortlisted applicants required to appear for interview

Jolebatawi

JF-Expert Member
Dec 10, 2011
549
230
Wadau hivyo ndivyo tangazo linavyosomeka kwa walioitwa kwenye oral interview pale udom kwa baadhi ya post kama vile graduate nurse n.k,,lakini kuna baadhi ya post hasa academic post kama vile tutorial assistants,lecturers e.t.c sijaona walioitwa namimi nilitupia kwenye TA(Tutorial Assistant),,Ningeomba kwa mwenye taarifa anijuze kama zenyewe bado au tayari walishaitwa?
Nawasilisha Kwenu Wadau.
 
Huna sifa za kuwa TA unataka uitweje??? Mtu umepata Div 4 kidato cha sita, chuo umetoka na PASS, ghafla unataka uwe TA. Nenda kaombe kazi halmashauri ya wilaya ya Nanyumbu, kuna vacancy ya tea lady

huu ndio ukanjanja, kwa nini umtukane matusi mwenzio wakati humjui na kama huna taarifa ya anachokiuliza unaandika matusi yako ya nini? wewe una division ngapi au hata pengine la saba hujafika, unapomtukana mwenzio ungeweka na wewe vyeti vyako hapa ili tuone division uliyopata, ningekuwa mod ungechezea ban leo na mijadala yako ya face book.
 
Huna sifa za kuwa TA unataka uitweje??? Mtu umepata Div 4 kidato cha sita, chuo umetoka na PASS, ghafla unataka uwe TA. Nenda kaombe kazi halmashauri ya wilaya ya Nanyumbu, kuna vacancy ya tea lady

Mods wachukulieni hatua watu kama hawa wanaotoa kejeli na matusi jukwaani.
Wanashusha heshima ya JF.
 
Kweli mkuu hapo umeongea,,mimi nimeuliza kistaarabu sana kama mtu huna taarifa ya nilichouliza kwani ni lazima uchangie??unajua busara na hekima ni vitu muhimu na hatuvisomei,hivyo kila mtu anapaswa kuwa navyo,,ila kwa upande mwingine sishangai kwa sababu kuna watu wengine walikosa malezi bora kutoka kwa wazazi wao tangu wakiwa watoto,,mtu hunijui na hujui vyeti vyangu kwanini uniite kilaza?na unione kuwa sina sifa??Ama kweli binadamu tungekuwa tunagawa riziki sijui dunia ingekuwaje.
TUSHUKURU KWA KUWA MWENYEZI MUNGU NDIYE MGAWA RIZIKI.
 
Wadau hivyo ndivyo tangazo linavyosomeka kwa walioitwa kwenye oral interview pale udom kwa baadhi ya post kama vile graduate nurse n.k,,lakini kuna baadhi ya post hasa academic post kama vile tutorial assistants,lecturers e.t.c sijaona walioitwa namimi nilitupia kwenye TA(Tutorial Assistant),,Ningeomba kwa mwenye taarifa anijuze kama zenyewe bado au tayari walishaitwa?
Nawasilisha Kwenu Wadau.

Hilo tangazo umeliona wapi mbona kwenye website ya UDOM halipo?
 
mkuu ukifungua website ya udom hilo tangazo liko mwisho kabisa kwenye news zao
 
Back
Top Bottom